NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

NECTA yathibitisha tuhuma alizotoa mwanafunzi wa Chalinze Modern Islamic ni za kweli, Yaifungia shule

Dogo Iptisum bora ameongea angekaa kimya ndio story zingekua zilezile alikua na akili sana halafu amefeli.

Tena kuna wale walimu viherehere wanakutolewa mfano kabisa "Mnamjua Iptisum alikua na akili sana lakini amefeli kwa kukosa nidhamu"
 
Vema kabisa mambo ya udanganyifu ni lazima yakomeshwe kwenye mitihani
 
Sasa hapo ujibiwe nini?
Au hujasoma huo uzi ?
Halafu huo uandishi wako unasoma darasa la ngapi?
Nimechoka kujibu maswali yenu.Kichwa cha habari hapo awali hakikuwa hivyo.Baada ya kuuliza kimerekebishwa/kuandikwa upya.Weye na wenzako mliochelewa kusoma uzi hamjui.Una swali lingine?
 
HAU? HII TANZANIA KUNA VIOJA!
Halafu kwa uandishi huo unakuta kijana amesoma mpaka form 4 pengine mpaka chuo ila anaandika hivyo[emoji1787]

Mie nawaona wengi tu siku hizi sijui tatizo nini?.

Enzi tunasoma sisi miaka ya 90 ilikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu anajua kuandika vizuri, kupangilia sentensi na herufi lakini hawa wa siku hizi sielewi!
 
Mkuu Hakuna invigilator Mkuu Bali kuna supervisor!!,
Screenshot_20221025_135025.jpg
 
Halafu kwa uandishi huo unakuta kijana amesoma mpaka form 4 pengine mpaka chuo ila anaandika hivyo[emoji1787]
Mie nawaona wengi tu siku hizi sijui tatizo nini?.
Enzi tunasoma sisi miaka ya 90 ilikuwa mwanafunzi wa darasa la tatu anajua kuandika vizuri, kupangilia sentensi na herufi lakini hawa wa siku hizi sielewi!
Penda kujiongezea misamiati weye!Neno "hau" nimelikopa kutoka lugha nyingine kabisa.Usikurupuke na kujidai unawashangaa vijana na kunilingaisha nao.Nipo hapa nanyoa mvi makwapani,karibu.
 
Back
Top Bottom