pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kwa ufupi ni shule ya kiislamu so lazma ifungwe ila ingekuwa ya wagalatia wangepotezea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe miguuni Mwako sioAkili kichwani kwako.
Mi naona wahusika wote wapewe kesi ya Jinai, shule isifungiwe, maana bado ina Wanafunzi wengi tu wasiokua na hatia, na Wana haki ya kupata elimu!
Wenzao wanafanya kila siku hayo ila husikii kufungiwa, wao wamejaribu tu fastaaaa
Kilichofanyika hakikubaliki na kufungia shule yote kufanya mitihani pia haikubaliki
Kwa ufupi ni shule ya kiislamu so lazma ifungwe ila ingekuwa ya wagalatia wangepotezea
Hiyo shule ina changamoto
Mtoto wa rafiki yangu anasoma hapo
Nimetoka kumshauri Mwezi uliopita amuhamishe kutokana na matukio anayorudi kusimulia nyumbani.
Wanaokoa wengi zaidi.
Kwa hiyo shule kwa sasa imebaki kama Madrasa tu,au siyo!!??Haijafungiwa, imefungiwa kuwa kituo Cha mitihani.
Ccm ndiyo iliyoharibu mfumo wa elimu wewe unakuja kuangaika na chadema.umekosa hoja wewe.Huwa kuna tuzo ya Mwanamke jasiri nimesahau watoaji huyu msichana watetezi wa haki za binadamu ,vyama vya wanasheria nk wampe tuzo ya jasiri
Msichana kusimama single handedly kutafuta haki yake
Hakuna mijitu mibwege nchi hii kama hao wanaojitia watetezi wa haki za binadamu Tanzania. njaa tu unawasumbua.Mtoto kwa kuwa hakuwa na hela hakuna hata taasisi moja ya kutetea haki za jamii iliyojitokeza kumsaidia.Waliufyata sababu wanaona hamna maslahi ya hela.
Hata Chadema wanaojifanya watetezi wa wananchi hawakujitokeza walijifungia kwenye vyoo vya ofisi ya makao makuu ya Chadema Ufipa.Utafikiri hata hawakusikia malalamiko ya huyo mtoto
Huyo msichana apewe nisha ya ujasiri ita motivate wasichana wengine kuwa bold kwenye kudai haki zao ns kuwa na misimamo wanapoonewa au kutaka kuonewa
Niwapongeze waandishi wa habari wamefanya kazi kubwa sana
Basi kama ndivyo mfumo wa majina urudishwe lakini pia hizo shule za Kiislamu ziajiri walimu wenye uwezo kichwani bila kuangalia dini ya mtu isipokuwa tu masomo ya dini yao nasema wasiajiri majina bali uwezo wa mwalimu, japo ni ngumu katika akili na mioyo yao hakuna namna nyingine maana kujitawala hawawezi ona shule yenyewe ya Kiislamu ila mambo wanayoyafanya ya kishetani wasivyo na uchamungu hata chembe.Kawaida wazazi wana shirikiana na walimu ktk hizi tuhuma
Pia walimu utumia kusaidia vijana wao wasio jiweza waweze kutusua ili waweze kupata marks za kwenda shule nzuri private au government
Mzazi kaiamini Chalinze Modern Islamic School akiamini ni shule ya dini yenye maelezi bora kwa ajili ya mwanaye kielemu lakini haikuwa hivyo.Dogo Iptisum bora ameongea angekaa kimya ndio story zingekua zilezile alikua na akili sana halafu amefeli.
Tena kuna wale walimu viherehere wanakutolewa mfano kabisa "Mnamjua Iptisum alikua na akili sana lakini amefeli kwa kukosa nidhamu"
Wapigaji wanatumia mwamvuli wa dini kuvutia wazazi na wanafunzi. Halafu wanafanya matendo ya kishetani.Mzazi kaiamini Chalinze Modern Islamic School akiamini ni shule ya dini yenye maelezi bora kwa ajili ya mwanaye kielemu lakini haikuwa hivyo.
Mwenye akili anapewa karatasi yenye namba ya mjinga ili amfanyie mtihani.Mkuu nisaidie what is the point ya kumbadilishia huyu mtoto na wenzake namba? Nashindwa kuelewa
Si kila king'aacho ni dhahabuMzazi kaiamini Chalinze Modern Islamic School akiamini ni shule ya dini yenye maelezi bora kwa ajili ya mwanaye kielemu lakini haikuwa hivyo.
Hivi Nini Dawa ya Walimu Wapiga deal mashuleni!!??Shule za Kiislamu huwa za hovyo sana. Angekuwa amefanyiwa hivyo kwenye shule nyingine wangeibuka na kusema Waislamu wanaonewa. Hii inathibitisha kwanini shule zao huwa hazifanyi vizuri hata siku moja
Kuna Mzazi mmoja hapo katoa mpunga mnene sana kwa hao Walimu ili mwanae afaulu japokua jinga, mwisho wa siku ndiyo haya mengine yamepata kazi za uhakimu alafu yanakua na maamuzi ya hovyo sana Kama Waheshimiwa!!!!Mwenye akili anapewa karatasi yenye namba ya mjinga ili amfanyie mtihani.
Matokeo yakitoka hiyo namba ya mjinga insonekana kafaulu sana na anaenda sekondari
Namba ya mwenye akili anapewa mjinga chumba cha mtihani yakisahihishwa.buyo.mwenye akili matokeo yake yatakuwa mabaya hivyo matapeli
Lengo la hiyo shule lilikuwa kujifelisha huyo mwenye akili na kumfaulisha mjinga
Ila tusicheke na kima jamani,hili ni tendo la ukatili kwa Watoto wetu wasiokua na hatia.!!Mwenye akili anapewa karatasi yenye namba ya mjinga ili amfanyie mtihani.
Matokeo yakitoka hiyo namba ya mjinga insonekana kafaulu sana na anaenda sekondari
Namba ya mwenye akili anapewa mjinga chumba cha mtihani yakisahihishwa.buyo.mwenye akili matokeo yake yatakuwa mabaya hivyo matapeli
Lengo la hiyo shule lilikuwa kujifelisha huyo mwenye akili na kumfaulisha mjinga
Hii issue imekuwa "viral" baada ya Mwana CHADEMA kuisambaza. Hivyo usiwalaumu kabisa hao.Huwa kuna tuzo ya Mwanamke jasiri nimesahau watoaji huyu msichana watetezi wa haki za binadamu ,vyama vya wanasheria nk wampe tuzo ya jasiri
Msichana kusimama single handedly kutafuta haki yake
Hakuna mijitu mibwege nchi hii kama hao wanaojitia watetezi wa haki za binadamu Tanzania. njaa tu unawasumbua.Mtoto kwa kuwa hakuwa na hela hakuna hata taasisi moja ya kutetea haki za jamii iliyojitokeza kumsaidia.Waliufyata sababu wanaona hamna maslahi ya hela.
Hata Chadema wanaojifanya watetezi wa wananchi hawakujitokeza walijifungia kwenye vyoo vya ofisi ya makao makuu ya Chadema Ufipa.Utafikiri hata hawakusikia malalamiko ya huyo mtoto
Huyo msichana apewe nisha ya ujasiri ita motivate wasichana wengine kuwa bold kwenye kudai haki zao ns kuwa na misimamo wanapoonewa au kutaka kuonewa
Niwapongeze waandishi wa habari wamefanya kazi kubwa sana
Mtoto kawachomea ndio maana wakagundulika. Inawezekana ndio mchezo wao huko nyu