Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Eti my take😂😂😂😂Hongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.❤️❤️💕💕👩❤️👩💐🌹🥀🌺🌺🌷🪷🌸🏵️🌼🍁🪻🌿🌲
My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.
Hii kataa ndo campaign inatokana na uchoyo, ubinafsi na uvivu wa wavulana wengi wa .comWanabeba mimba wanawake lakini hapa wanaolalamika wengi wanaume wenzetu, na utakuta kwenye maada za kataa ndoa wanaunga mkono kwa nguvu zote,
....kumbe issue ni "pesa".....Kuwa na watoto wengi Wala sio urijali, uanaume wako unatakiwa uonekane kwenye malezi na matunzo ya mtoto, anapata hiyo jeuri kwa sababu pesa anayo ya kutosha
[emoji106]Jikite kwenye hoja achana na maua
Sio kweli, acha uwoga.Yan zama hizi kuwa na watoto zaidi ya watatu ni kujitafutia matatizo
[emoji1787][emoji1787]ni wapi kwenye dhambi
onyesha ushahidi kuwa ni dhambi huko kwingine
Haaa haaaaWatu wa Dar mnajua mambo mengi ya wasanii
Mkuu, mungu anakuona...😔😔Nae si haba, amejitahidi kuwakilisha
Tunajiona wapi? Mimi na nani? Kutegemea mahali ulipo kama ulivyosema na ndivyo ilivyo kwenye hali yako ya uchumi na uwezo wa kulea familia watu wanakaa alafu wanaachiwa ndugu zao kulea na kusomesha nonsenseMji gani?
Au mnajiona jamiiforum ni ya mji wenu?
Hujui kabisa kwamba hii platform ni kwa ajili ya dunia hii?
Kwa taarifa yako ukitaka kufanikiwa ama kuwa na aina flani ya maisha inategemea na sehemu ulipo.
Mpka sasa hapo ulipo hustahili hata kupata mtoto. Oa mke au olewa kisha kila mmoja akate mrija wa mbegu..
Maana hata huyo mmoja bado mtaona anawamalizia pesa zenu..
😆😆😆Sio kila mtoto akipatatikana apimwe DNA! Watoto 15 ni wengi sana na si rahisi kucontrol kuchomekewa.... Msimsifie saaaana akija jua alichomekewa atakuufwaaa walahUmeanza ujinga wako sasa [emoji1787][emoji1787]
Kwani kuna mwanaume mwenye uhakika na mtoto anayemuita baba ?!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kila akipatikana mtoto ,basi tupime DNA ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]Sio kila mtoto akipatatikana apimwe DNA! Watoto 15 ni wengi sana na si rahisi kucontrol kuchomekewa.... Msimsifie saaaana akija jua alichomekewa atakuufwaaa walah
[emoji7]Kweli jamaa apewe Maua Yake anastahili Sana.