Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Duh! We jamaa mbona umeongea ukweli mtupu kiasi hichi? Umetisha Sana banaukiwa na wake 4 labda uwe mchawi, ili uwe unawapiga busha wanaokuchapia. kwasababu uhalisia kibiolojia ni kwamba, mwanaume mmoja hawezi kuwatosheleza wanawake 4. hata wanawake hao wakijifanya wanatosheka, kuna uwezekano mkubwa hawajui hata kutosheka kukoje. imagine, kwa wale wanaoijua ngono, una wake 4, mwezi una wiki 4, hivyo kila wiki utakuwa unalala kwa mmoja, na mwingine atasubiri hadi wiki 3 zipite ndio akutane na wewe. anakukusanyia nyege za wiki 3 wakati wewe ndio unatoka zamu ya mzunguko umekamuliwa vilivyo na mwingine aliyekusubiri kwa wiki 3 and the cycle goes on and on. utazidiwa tu au utapiga isivyokamilifu afu ataondoka nazo, ukiwa kwenye mzunguko wa wiki tatu zijazo utasaidiwa tu hata ufanyeje. hata ujifariji vipi lazima usaidiwe, uzuri ni kwamba hautajua ila kusaidiwa utasaidiwa.
DaahHongera bwana Masoud Kipanya Kwa kututoa Kimasomaso Wanaume.Unastahili Maua.β€οΈβ€οΈπππ©ββ€οΈβπ©ππΉπ₯πΊπΊπ·πͺ·πΈπ΅οΈπΌππͺ»πΏπ²
---
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
My Take
Tuache uvivu wa kuzaa na kuogopa maisha.
that means, hata wazae watoto 50, uhakika kwamba watoto hao wote ni wa kwako ni mdogo, kwasababu ni vigumu sana siku za mimba kugongana kwa kwenye ratiba zao za zamu. si ukute siku unaenda kwa bimkubwa, bimdogo ndio siku zake za hatari, siku unakuja kwa bimdogo, bimkubwa ndio siku za hatari. hivyo unapokuja kwenda kwake zinakua sio siku za hatari. au labda muweke kikao uwaambie siku zile ambazo ni za hatari wawe wanakustua ili uvuruge ratiba ya mzunguko uende kwa aliye hatari uweke mimba, na siku hizo zitafidiwa kwa wengine ujue. au labda, uwe na diary wote wakiingia hedhi wakupigie simu ili uhesabu wewe mwenyewe lini itakuwa siku ya hatari ukatie mimba na habo ratiba ya kulala kwao utaivuruga. ukifikiria sana hayo utapata jibu kuwa ukioa wake wengi ni kwa ajili tu ya kuzaa watoto (ambao possibility kubwa nusu yao unaweza kubambikwa),Duh! We jamaa mbona umeongea ukweli mtupu kiasi hichi? Umetisha Sana bana
sasa fikiria mmoja anakubambikizia, wanne je si hatari?Unaweza kuwa na mke mmoja na akukumbakikizia watoto.....[emoji1787]
Sio kwa mji huu baba , kila mtu ana bajeti yake imagine lunch yangu ni combo pack msishangae jina hichi chakula kina majina tofauti kulingana na eneo ila jina halisi ni ukoko
Kuna restaurant moja nimekuta kinaitwa njaro
Anapiga fimboMasoud Huyu Huyu?
Jamaa ana wake wanne?
Watoto kumi na Tano
Alafu mchizi ana Sigida dadeki
Mchizi atakuwa na mshipi!
Mchizi noma
Ukishakuwa na mawazo ya kuchapiwa unateseka sana. Tatzo ni kwamba asiye na mke anachapiwa zaidi maana sijui ndo Girl friend yupo huru kukitembeza. Mke wa masood mpaka akitembeze ni lazima ajifiche fiche sana ila girlfriend wa masood wanamptandika tu. Ukitaka kuwa na mwanamke asiyetumika sana, muoe. Masood kafanya sahihi kwa dini yake.ukiwa na wake 4 labda uwe mchawi, ili uwe unawapiga busha wanaokuchapia. kwasababu uhalisia kibiolojia ni kwamba, mwanaume mmoja hawezi kuwatosheleza wanawake 4. hata wanawake hao wakijifanya wanatosheka, kuna uwezekano mkubwa hawajui hata kutosheka kukoje. imagine, kwa wale wanaoijua ngono, una wake 4, mwezi una wiki 4, hivyo kila wiki utakuwa unalala kwa mmoja, na mwingine atasubiri hadi wiki 3 zipite ndio akutane na wewe. anakukusanyia nyege za wiki 3 wakati wewe ndio unatoka zamu ya mzunguko umekamuliwa vilivyo na mwingine aliyekusubiri kwa wiki 3 and the cycle goes on and on. utazidiwa tu au utapiga isivyokamilifu afu ataondoka nazo, ukiwa kwenye mzunguko wa wiki tatu zijazo utasaidiwa tu hata ufanyeje. hata ujifariji vipi lazima usaidiwe, uzuri ni kwamba hautajua ila kusaidiwa utasaidiwa.
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πMlo mmoja lazima debe la mahindi liishe, hasa kwa sisi tunaoishi mjini kwa kununua chakula
Huo ndo ukweli...Ukishakuwa na mawazo ya kuchapiwa unateseka sana. Tatzo ni kwamba asiye na mke anachapiwa zaidi maana sijui ndo Girl friend yupo huru kukitembeza. Mke wa masood mpaka akitembeze ni lazima ajifiche fiche sana.
Kabisa mkuu.Huo ndo ukweli...
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ nimecheka kama mazuri vileSiyo poa kwanini wakati panya kuzaa watoto wengi ni asili yao?
Dunia inaendeshwa na wenye kipaji ,kisomo ni vitu vya ziadamtu anayezaa watoto wengi ni mtu anayeamini kwamba kisomo, sio cha muhimu sana duniani bali kipaji. hivi kweli masoud kipanya ataweza kusomesha watoto english medium ya 2m kwa mwaka, kwamba mfano alipe 30m kwa mwaka ada tu, bado matumizi mengine na chakula etc, au wanasoma kayumba?