Kwani kuna sheria imekukwa ili wachukuliwe hatua?Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
International Governmental Agreement (IGA) UFEIga ufe
15 magunia ya mahindi hapo lazimi umilika hekari za Ardhi za kutosha kwa ajili ya kilimo na uajiri watu wa kukulimia na kusimamia shamba sio kununua sokoni au dukani au supermarketMlo mmoja lazima debe la mahindi liishe, hasa kwa sisi tunaoishi mjini kwa kununua chakula
Sasa usilinganishe ukilaza wako na wengine na wala usiwashangae wengine kuwa na wake wengi na watoto wengi na bado wakatoboa! Kama watoto wako ni vilaza na hawawezi ku-cope masomo ya baadaye ni wao! Acha watu waoe na wazae kadri wanavyojaliwa na siyo kuwaona kama hawana akili!mi
ssasa sikia, tusipoteze muda kubishana. wewe somesha watoto wako kayumba, watafanikiwa tu. ila mimi nimesoma kayumba nikilinganisha masomo niliyokuwa nasoma nikiwa primary na wanayosoma au uelewa wa watoto wa siku hizi wa primary wanaosoma english medium, ninacho cha kujifunza. pia, pamoja na kusoma kayumba, naamini ningesoma english medium kuna baadhi ya hustles nilizozifanya zingefanikiwa kwepesi zaidi kuliko nilivyokuwa kayumba kwasababu imenikuchua muda mrefu kucope. kiingereza nimeenda kukijulia ulaya na marekani, pamoja na kwamba university degree ya kwanza nilisomea bongolala.
Legend kabisaNina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Tatizo wengine wanazembea, huyu masudi ni mgumba nini? Watoto wachache hivyoMungu hakuagiza dunia ijazwe na mtu mmoja.
Eti injinia hersi azae watoto 15 halafu uanze kumuhurumia, si uzwazwa huoHayo matatizo yatakuja tu iwapo unaishi maisha ya kuungaunga. Ila kama una maisha ya uhakika; wala hakuna tatizo lolote lile
Jamani pole yake..msijali afya yake muhimu atakaa sawa na kila kitu kita flow...nawaombea heri...kingine big up sana kwa mentality hiyo...π π π π ... hayaa banaaa unajua alipata majanga.. hadi baada ya miaka miwili kwa usalama wake ndio anaruhusiwa... goja niendelee kupiga jaramba kwanzaaa... maama wengine kutupia nje mwiko
Hizi imani primitive zinadhalilisha wanawakeNina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Amenaaaa πππJamani pole yake..msijali afya yake muhimu atakaa sawa na kila kitu kita flow...nawaombea heri...kingine big up sana kwa mentality hiyo...
Muulize Dr Mwaka , utakusimulia.Mengine mepesi kweli ?Na kukomeshana huko ndio furaha kwetu wanaume....
Mwanaume atafute hela tu mengine ni mepesi.....
Without generalization life remains a mystery....Muulize Dr Mwaka , utakusimulia.Mengine mepesi kweli ?
Point....Huwa nashangaa sana wanaume wanaokataa watoto wao
Wanasema kuanzia watatu[emoji16]Alafu ubaya hapa naona Me wengi ndio wanalala mika kuhusu wingi wa watoto....[emoji23]
Hivi kwanza, mtu akisema watoto wengi ni kuanzia wangapi...??[emoji849]