Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Taja hao watu wanaojua management na wenye exposure ambao hawajapewa nafasi acha bla bla!
 
Hapo kuna kama majina manne makubwa yananitia mashaka sana na uadilifu wao kuanzia Mchechu,Mafuru,Maajar na Mzee Gachuma naona kama ni watu wa fursa zaidi,najua huyo mtoto wa Bakhressa hana njaa na hao wengine siwajui sana.
Fikra hizi zilipendwa. Ulitaka uwekwe wewe kwa vigezo gani?
 

Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing

Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote

Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!
Nikikosea kubashiri jinsia yako nitaenda Zanzibar kwa baiskeli.
 
Taja hao watu wanaojua management na wenye exposure ambao hawajapewa nafasi acha bla bla!
Nimesema wapo, huko alipowatoa Jakaya wakati yuko madarakani wapo wengi tu wanafanya kwenye agency za kimataifa. Mfano ni mkurugenzi wa TPB ambayo sasa inaitwa TCB amekuja kuifufua bank ya Posta ila jamaa ni mtanzania alikuwa anafanyia ishu zake mamtoni huko. Watu wa aina hio ndio tunawahitaji sio kila siku kurudisha sura zile zile tu.
 
Watu wazuri wenye uwezo watazingatiwa tu! Kama hajawekwa sehemu haimaanishi hatowekwa popote!

Kikubwa ni uzalendo kweli na utashi wa kuipeleka Tanzania mbele zaidi!

Ni vizuri kutaja direct kuliko kuishia kulalamika
 
Hongera zao kwa kweli labda tutaona mabadiliko,washughulikie kero ndogo ndogo kwanza ndio watengeneze mikakati mikubwa.Mimi nimeomba umeme since May 2021 mpaka leo sijawekewa nawaza hii ni hapa mbezi Beach wilaya ya kinondoni je mtu aliyeko kaliua na.mpanda inakuwaje ?Cha kwanza mameneja wote wawekewe Key Perfomamce indicators-KPIs na kupimwa nazo kila baada ya 90days moja ya KPI iwe
1.%ya wateja waliomba umeme na kufungiwa chinj ya siku 90.Benchmark iwe si chini ya asilimia 90 etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…