Hizo financial statements zina nini cha ajabu?
Nimekuuliza Nehemia ameikuta NHC ikiwa na hali gani? Madeni kiasi gani?
Unatufanya sie wajinga sio? Sote tunajua hali ya NHC kipindi Nehemia anaingia ilikuwaje na sote tunajua yeye ndo at least alianza kufanya miradi mipya.
Chuki zenu za kutaka kuweka watu wenu National Housing mkamtengenezea zengwe na kumuondoa Ila hamkuwahi kupata ushahidi dhidi yake kumpeleka mahakamani!
Hakuna kipindi uchumi wa nchi hii ulikwenda vizuri Kama kipindi cha JK. Na ndo mana hata sie kuingia katika uchumi wa kati kipindi cha Magufuli ilitokana na strong performance ya uchumi kipindi cha JK.
Muacheni JK apumzike, chuki zenu dhidi yake hazitawafikisha popote!
Samia ndo Rais, vyombo ni vyake na ana uwezo ya kufanya vetting na kupata ukweli wa mtu yeyote nchi hii. Anafanya maamuzi Kwa utashi wake na Kama anavyoshauriwa na vyombo vyake!
Kumsingizia JK kuendesha serikali ya Samia ni wivu na chuki zenu dhidi ya Samia na JK ndo zinawasababisha mfanye hayo!