Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Fkra hizi zilipendwa. Ulitaka uwekwe wewe kwa vigezo gani?
Wewe huna akili,ni wapi nimekuambia nataka niwekwe mimi!
Ama kuhusu vigezo wewe unanijua hadi uhoji vigezo kama nakidhi vigezo au la! Hizo nafasi za uteuzi wakati mwingine mwenye mamlaka ufanya uteuzi kwa utashi wake tu sasa hiyo haindoi haki kwa watu wengine kutoa maoni yao tofauti.
Na kingine nachotaka kukueleza kuwa mimi sio bendera fuata upepo mimi niko huru hivyo naweza kutoa maoni yangu kadri ninavyoona iwe kupongeza au kukosoa upande wowote iwe serikali ama upinzani na hayo yanakuwa ni maoni yangu binafsi hivyo na wewe unaweza kutoa yako tofauti pia sio unilazimishe kufuata mlengo wako.
 
We unaona kuna mtu wa kumuwajibisha mbadhirifu wa mali za umma pale? Au ndio tutarudi kule kwenye kuunda tume za uchunguzi
 
Inaumiza sana!!


Eeh mwenyezi Mungu tunaomba ulisaidie taifa lako [emoji24][emoji24]


Mbaya zaidi watu hawataki ku reason with genuine information like this bali kwakuwa walimchukia Magufuli wao inakuwa furaha, na huu ndio ujinga MWINGINE unatutafuna, Umagufulism na u anti magufulism!!

Time will tell!!
 
Wewe ulitaka awekwe nani na kwa vigezo gani?
 
Kwani hiyo midege aliyoinunua Magufuri,wamepewa ATCL bure,Atcl wanakodishwa ndege na serikali kupitia agent wa serikali, kwaiyo Atcl inalipa hela selikarini kama vile Atcl wangelikuwa wamekodi mashirika mengine ya ndege, maana walikuwa wanakodi kabla ya Magufuri kununua hizo ndege,kosa la Magufuri ni lipi hapo? kununua ndege na kukodisha shilika au shirika liendelee kukodisha ndege kutoka nje?
 
Acha gossips, give evidence ku prove unayoyaongea!!


Halafu mbona mko na inferiority complex, neno mwanamke linatajwa sana kuliko hata hoja yenyewe.
 
Wewe ulitaka awekwe nani na kwa vigezo gani?
Sio rahisi kwangu kutaja majina ya watu lakini kikubwa watu wanaostahili ni wale wasiotiliwa shaka kwa uadilifu wao,sasa kama mteuzi amejiridhisha sawa lakini hiyo haizuii wengine kuwa na mawazo tofauti japo hiyo haiwezi kubadili chochote.
 
Fuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?

Nilitofautiana naye kwenye maeneo mengi sana na nilianza kumpinga akiwa bado madarakani
Wewe ni "Mnafiki" Sana, yale yale ya kipindi cha Magufuli alisifiwa na wasaidizi wake akawa na wapambe kila mahali akajawa na sifa bila kujua kwanini walimsifia, kitendo kile kilimfanya awachukie waliomkosoa leo hatuko naye manafiki yanaanza tena wewe ukiwemo.


Teuziiiiiii teuuuuuuziii zitawaponza !!
 
Huyu mchechu alivyokua D.G NHC alipiga madili ya Viwanja sana. Alikua ananunua viwanja kwa bei rahisi kupitia aliases then anaviuza kwa NHC kwa mabilioni, ama kweli safu nzima ya Mzee wa Msoga Itarudi yote. Yetu macho. Mama endelea kuupiga Mwingi.
Mchechu, Mafuru ni kati ya the best CEOs tulio nao hapa nchini.

Historia inawatetea.

Bakresa na Gachuma ni industrialists na hivyo ni wadau wakubwa na muhimu wa sekta ya umeme!!
Ceo mpya wa Tanesco Maharage pia katoka private sector.
Mtu makini mweledi na mbobezi Felchesmi Mramba karudishwa kwenye fani kama Kamishna wa Nishati na Umeme.

What a great pick!!

Kwangu mimi sijaona uteuzi bora kama huu.

Hongera sana Mama
Hongera Makamba Mb.


This is a great mix.

Asante Rais SSH.

Kwa mwendo huu ukifanikiwa kurekebisha masuala ya Katiba mpya, political space I mean democracy, freedom of press, freedom of speech and human rights issues.

You will be the great leader!!
You may borrow a leaf from successful leaders.

Bado unao muda. Jutahidi na Mungu akuongoze.
 
Hongera sana kwa ufuatiliaji wako mkuu.

Umetusaidia kuibua wanafiki kama hawa, wachumia tumbo haters na mwisho wa siku ataendelea na roho yake hiyo.
 
Hakuna mtu anaejitambua asiekuwa na njaa,binadamu anaejitambua lazima ana njaa ya kupanda zaidi ya alipo. Hata Jeff ana njaa,billgates ana njaa ndo maana unamuona anahangaika kuwekeza kwenye chanjo.
Hilo neno lina tafsiri pana sana,ebu sema mwenyewe kati ya hao uliowataja ni nani kati yao anayetamani kukwapua kwapua tu badala ya kufanya juhudi ili apate anachostahili?
Sasa pamoja na kuwa hakuna yeyote katika dunia hii anayeridhika na utajiri au mafanikio aliyonayo lakini hii haina maana kwamba utake kukwapua chochote kilicho mbele yako bila kujali maumivu ya wengine.
 
hata mie nashangaa, wala keki ya Taifa ni walewale miaka nenda miaka rudi utadhani hakuna watz wengine wenye uwezo zaidi bhn!
Wako wengi tu.....Hao wote wana qualifications za kawaida sana...ambazo wa-TZ wengi wanazo. Kuna sababu za ziada hapo...urafiki, na maslahi mapana binafsi...na kuna wengine walishakuwa implicated na scandals; tena Mama akiwa Makamu wa Rais...sasa kweli hajui hayo? Au hakuna watu wengine safi ambao wanaweza kushika hizo nafasi? Hebu Wa-TZ tuwe serious jamani kama kweli tunataka nchi iende mbele...Mwisho wake watu watapiga madili yaleyale ya IPTL na EPA hapo..zitajirudia.
 
Jamani mwacheni kumsingizia Mama vitu vya ajabu, nyie wakati huo mlihakikisha awe mbali asijue kilichoendelea...
 
Inasikitisha sana.....
 
Mimi nahoja moja tu je majina hayabyanafinyiwa verify na high team aka TIS maana kama wanachaguwanaa tu kwa style hii Taifa letu lipo ktk hali ngumu zaid kiusalama kuliko tunavyo waza. Maana Tanesco ni moja ya Taasisi nyeti ilio jaa makachero na siri ni moja nishati ya umeme nimoja ya sehem inalindwa na hao wana usalam wasiojulikana maana ili mtu akishughulikie mpaka ukae chini nikujuwa mfumowako wa vinu vya umeme sasa tuweke siasa pembeni na tukumbuke masilahi mapana ya usalama wa Taifa letu. Tuna mageneral kama Mzee Mwamunyange why tunaweka bench kwa sababu tu tuna tengeneza njia ya uRais.... Nani asie juwa jamaa nahamu nao ila hatoupa.... End
 
Nchi huliwa na wenye meno, sio vibogoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…