Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Sina haja ya kuongelea kama Macho unayoNini alichokifanya Magufuli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina haja ya kuongelea kama Macho unayoNini alichokifanya Magufuli??
Wewe huna akili,ni wapi nimekuambia nataka niwekwe mimi!Fkra hizi zilipendwa. Ulitaka uwekwe wewe kwa vigezo gani?
We unaona kuna mtu wa kumuwajibisha mbadhirifu wa mali za umma pale? Au ndio tutarudi kule kwenye kuunda tume za uchunguziNi njaa tu za nchi zetu lakini kiuhalisia huwezi kumteua MTU ambaye hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa Kamati ya Send off kwenye mashirika au serikalini . Vijana wanapaswa wafanye kazi kwenye Idara mbalimbali ili wajue changamoto zilizopo kwenye ajira na baadae ndipo wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi hizo.
Mtu hajawahi kuwa hata mfanyakazi wa serikali utampaje Ukurugenzi wa halmashauri au UDC.
DC hajui hata changamoto za kiuslama na masuala mazima ya kiusalama unamtuo huko kwenye sana za ngoma za kizungu unampa UDC au uRC . Matokeo yake hawana jipya zaidi ya kupora Mali za watu na kutisha watu. Wanajivika amri za kijeshijeshi bila kujua miiko ya kijeshi. Matokeo yake ni Kujenga chuki na uhasama kwenye jamii.
Vijana fanyeni kazi kwenye Kata ,Tarafa, Idara za Elimu,afya,Majeshi n.k. Uwezo wenu uonekane sio haya mambo ya kuteuana kwa kushangilia na kucheza ngoma majukwaani na kuiga sauti za viongozi.
Makamba hakuibuka tu kutoka hewani . Ni kijana aliyeandaliwa kwa muda mrefu ndio mana ni mkomavu japo sijajua usafi wake kwenye Mali za umma.
Akiharibu atawekwa pembeni lakini tusimhukumu eti ameteuliwa tena.Anaweza na ana uwezo .
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Inaumiza sana!!View attachment 1952878
Umeona hilo shirika halina operation profit in the first place.
Sasa jiulize hizo finance costs zinalipwa vipi? Na kilikuwa ivyo for the past 10 years.
Umeshajiuliza hiyo billioni 150 kwa mwaka ambayo awawezi ilipa ingetoa ajira ngapi? Au serikali ingeitumia vipi?
Ina maana kwenye deni la taifa kila mwezi serikali ina service zaidi ya billion 12 point something kwa sababu waliwapa debt guarantee NHC ya mikopo kwenye miradi ambayo walitakiwa kulipa wenyewe kutokana na investment walizofanya.
Na walipa kodi wamekuwa wakilipa hayo madeni since the end of grace period ya mikopo ya NHC ilipoisha sometime in the early 2010.
TANESCO nako ni ivyo ivyo, is it common sense kuwarudisha kwenye body yoyote ya serikali watu waliowatia hasara hizo walipa kodi?
Kibaya zaidi wakati wanaanza kuelekea kuitia hasara serikali za baadae wengine walionya stop that nonsense. JK yeye ndio utamuona yupo nao akisifia Dar inapendeza na kujifanya anatoa historia ya NHC.
Wakati huo huo huyo Nehemia serikali inamlipia zaidi ya billioni 12 kila mwezi kwa mikopo aliyotakiwa kulipa yeye; akataka kukopa tena kwa guarantee ya serikali awekeze kwenye miradi yake ya ovyo. Hapo ndio Magufuli alipoona huu sasa ni upuuzi.
Hivi mnadhani huyo mtu Magufuli alimtimua kwa kumuonea; he just doesn’t have it.
Take it from me; kama kuna watu wana akili timamu ni muda wa kumwambia JK atulie Msoga na kucheza na wajukuu.
JK ni tatizo kwa mustakabali wa taifa sio kwa makusudi ila aoni mapungufu yake; he is just not an idea man.
Wewe ulitaka awekwe nani na kwa vigezo gani?Wewe huna akili,ni wapi nimekuambia nataka niwekwe mimi ama kuhusu vigezo wewe unanijua hadi uhoji vigezo kama nakidhi vigezo au la! Hizo nafasi za uteuzi mwenye mamlaka ufanya uteuzi wakati mwingine kwa utashi wake tu sasa hiyo haindoi watu wengine kutoa maoni yao tofauti na kingine nachotaka kukueleza kuwa mimi sio bendera fuata upepo mimi niko huru hivyo naweza kupongeza au kukosoa upande wowote iwe serikali ama upinzani na hayo yanakuwa ni maoni yangu binafsi hivyo nawez unaweza kutoa yako tofauti pia sio unilazimishe kufuata mlengo wako.
Kwani hiyo midege aliyoinunua Magufuri,wamepewa ATCL bure,Atcl wanakodishwa ndege na serikali kupitia agent wa serikali, kwaiyo Atcl inalipa hela selikarini kama vile Atcl wangelikuwa wamekodi mashirika mengine ya ndege, maana walikuwa wanakodi kabla ya Magufuri kununua hizo ndege,kosa la Magufuri ni lipi hapo? kununua ndege na kukodisha shilika au shirika liendelee kukodisha ndege kutoka nje?Pamoja na uozo wa Jiwe, ila mchechu alikuwa hafai kuendelea hapo NHC.
Mchechu alitumia kampuni zake kufanya miradi ya NHC, uzuri thread za miaka hiyo 2011-2014 zipo humu.
Kusema mchechu aliikuta NHC ikiwa na Hali mbaya huu ni uongo kabisa.
Alichofanya mchechu NHC ni sawa ana alichofanya jiwe ATCL kununua midege mipya huku mzigo mkubwa wa madeni ulilielemea shirika.
NHC ya mchechu ina madeni makubwa hadi Leo na hayajukikani yatalipika vipi.
Acha gossips, give evidence ku prove unayoyaongea!!Acha kujiaibisha na chuki zako kwa kikwete! Na Ndo mana mnazidi kuonekana washamba! Kazi kudharau tu wanawake! Mnamdharau Samia kana kwamba yeye hana akili au hawezi kuongoza wajinga nyie.
Samia anachagua timu yake yeye anayoona inafaa kwa utashi wake na ushauri anaopewa na vyombo!
Huyo Magufuli unayemsifu hapa ndo ameiua National Housing. Tangu aingie miradi yote ya kawe, Morroco na kugamboni ilisimama na kufa kisa chuki zake na kijana mchechu!
Yeye alipenda kujenga na kupeleka miradi chato tena bila bajeti! Hela alikuwa anataka kuchukua kwenye mashirika na Ndo mana hakuendana na watu wenye misimamo na akili Kama Prof Assad, Nehemia Mchechu na Mafuru!
Sio rahisi kwangu kutaja majina ya watu lakini kikubwa watu wanaostahili ni wale wasiotiliwa shaka kwa uadilifu wao,sasa kama mteuzi amejiridhisha sawa lakini hiyo haizuii wengine kuwa na mawazo tofauti japo hiyo haiwezi kubadili chochote.Wewe ulitaka awekwe nani na kwa vigezo gani?
Hahah, halafu koneksheni hata kama za kuungaunga zipo tu, sijui nakwama wapiii!!una koneksheni ?
Wewe ni "Mnafiki" Sana, yale yale ya kipindi cha Magufuli alisifiwa na wasaidizi wake akawa na wapambe kila mahali akajawa na sifa bila kujua kwanini walimsifia, kitendo kile kilimfanya awachukie waliomkosoa leo hatuko naye manafiki yanaanza tena wewe ukiwemo.Fuatilia kwa nini niliamua kutomuunga mkono badae?
Nilitofautiana naye kwenye maeneo mengi sana na nilianza kumpinga akiwa bado madarakani
Mchechu, Mafuru ni kati ya the best CEOs tulio nao hapa nchini.Huyu mchechu alivyokua D.G NHC alipiga madili ya Viwanja sana. Alikua ananunua viwanja kwa bei rahisi kupitia aliases then anaviuza kwa NHC kwa mabilioni, ama kweli safu nzima ya Mzee wa Msoga Itarudi yote. Yetu macho. Mama endelea kuupiga Mwingi.
Hongera sana kwa ufuatiliaji wako mkuu.Nimesoma baadhi ya thread zako miaka ya nyuma, na nimegundua
Hadi hapa kuna kitu hakipo sawa kwako.
- ulikuwa CCM
- ukamsupport jiwe
- baadae pengine mambo ya maslahi huko CCM yalikupitia kando, ukahama CCM
- uchaguzi wa 2020 ukawa chadema, kwa kumnadi Lissu usiku na mchana
- ghafla umerudi ccm, pengine ukiamini maslahi yako yatakuwa sawa.
Hilo neno lina tafsiri pana sana,ebu sema mwenyewe kati ya hao uliowataja ni nani kati yao anayetamani kukwapua kwapua tu badala ya kufanya juhudi ili apate anachostahili?Hakuna mtu anaejitambua asiekuwa na njaa,binadamu anaejitambua lazima ana njaa ya kupanda zaidi ya alipo. Hata Jeff ana njaa,billgates ana njaa ndo maana unamuona anahangaika kuwekeza kwenye chanjo.
Wako wengi tu.....Hao wote wana qualifications za kawaida sana...ambazo wa-TZ wengi wanazo. Kuna sababu za ziada hapo...urafiki, na maslahi mapana binafsi...na kuna wengine walishakuwa implicated na scandals; tena Mama akiwa Makamu wa Rais...sasa kweli hajui hayo? Au hakuna watu wengine safi ambao wanaweza kushika hizo nafasi? Hebu Wa-TZ tuwe serious jamani kama kweli tunataka nchi iende mbele...Mwisho wake watu watapiga madili yaleyale ya IPTL na EPA hapo..zitajirudia.hata mie nashangaa, wala keki ya Taifa ni walewale miaka nenda miaka rudi utadhani hakuna watz wengine wenye uwezo zaidi bhn!
Kitu kinacho fanywa na mama samia kinaitwa MAFISADI LEGACY wanakifanya kwa kuofia magufuli legacy hivyo wanarudisha watu wote wa ovyo walio timuliwa au kuwekwa jela na magufuli ili waweze kuua nguvu zozote za uzarendo maana huyu mama ana kesi chafu sana ya /17
Yani Tz yote vichwa ni hivyo tu!!!??Vichwa viliwekwa kando na mzee mpigaji kwa wivu wa kijinga
Inasikitisha sana.....Hahahahahaha yani safu ya wapiga dili imerudi mchezoni kwa aina yake 😅 hapo Makamba anaenda kupiga hela ndefu sana ndani ya muda mchache mno!
Hawa watu huwa wana circulate tu kama vile hakuna watu wengine wenye akili zaidi yao nchini! Leo NHC mara katumbuliwa kesho yupo NSSF mara kachomolewa keshokutwa yuko TPA mara kang’olewa anakuja kuibukia TANESCO! Je, hawa watu ni miungu ama? Don’t we have any new heads za management humu nchini ni lazma wawe hao hao akina Dau, Mchechu?
Ww huwa ni ndumilakuwili kuna mtu ameuquate uzi wako kule juu......Dili gani walipiga? Mbona hamkuwapeleka Mahakamani Kama mlikuwa na ushahidi?
Acheni chuki zenu
Mimi nahoja moja tu je majina hayabyanafinyiwa verify na high team aka TIS maana kama wanachaguwanaa tu kwa style hii Taifa letu lipo ktk hali ngumu zaid kiusalama kuliko tunavyo waza. Maana Tanesco ni moja ya Taasisi nyeti ilio jaa makachero na siri ni moja nishati ya umeme nimoja ya sehem inalindwa na hao wana usalam wasiojulikana maana ili mtu akishughulikie mpaka ukae chini nikujuwa mfumowako wa vinu vya umeme sasa tuweke siasa pembeni na tukumbuke masilahi mapana ya usalama wa Taifa letu. Tuna mageneral kama Mzee Mwamunyange why tunaweka bench kwa sababu tu tuna tengeneza njia ya uRais.... Nani asie juwa jamaa nahamu nao ila hatoupa.... End
Hahahahahaha yani safu ya wapiga dili imerudi mchezoni kwa aina yake [emoji28] hapo Makamba anaenda kupiga hela ndefu sana ndani ya muda mchache mno!
Hawa watu huwa wana circulate tu kama vile hakuna watu wengine wenye akili zaidi yao nchini! Leo NHC mara katumbuliwa kesho yupo NSSF mara kachomolewa keshokutwa yuko TPA mara kang’olewa anakuja kuibukia TANESCO! Je, hawa watu ni miungu ama? Don’t we have any new heads za management humu nchini ni lazma wawe hao hao akina Dau, Mchechu?