Anamwongelea Kikwete yupi?Sibishani na mbumbumbu,Jk huyu alishindwa kufufua miundombinu ya reli,aje ajenge Sgr?miaka 25 train haikuwai kufika kilimanjaro,imefikishwa na Magufuri,alafu unasema alikuwa na akili za kujenga Sgr, wakati kuendeleza aliyoachiwa yalimushinda,kila siku ilikuwa ni kuzurula Nchi za watu, baada ya kujenga Nchi yake, ndio mtindo alioanza nao mama yenu
Uyu ni rofa inaonekana inaonekana alikuwa na chuki na Magufuri, Kikwete kulinganishwa na Magufuri ni kama Mlima na Kichugu, Miaka 5 tu Magufuri kafanya yaliyowashinda marais 4 Magufuri kayafanya kwa miaka 5 tu (according Mwinyi)Anamwongelea Kikwete yupi?
Au siye Yule alipoona Bunge linakaribia kuvunjwa na nafasi za uteuzi zilibakia mbili,akateua ili wakachukue kiinua mgongo Cha 250m kila mmoja?
Mbaya mbaya sanaaNdio maana yake..anatengeneza timu ya kampeni kwenye ofisi ya umma...mbaya sana hii
Hawa kina Mchechu wanaweza kuwa ni creative minds lakini ni wapigaji fulani tu. Baada ya muda fulani kupita wataanza mizengwe ya kiwizi kama ile kampuni ya bosi fulani wa TANESCO mwenyeji wa mkoa wa Tanga ikaishia mahakamani.Kukomoana, Mchechu alifukuzwa na Jiwe, sasa wewe unamruddisha.... naishia hapa
Hvi NGH alifanya innovation gani maana sikuwahi kuona mabadiliko ya maana kiuchumi kwa NHC...Hawa kina Mchechu wanaweza kuwa ni creative minds lakini ni wapigaji fulani tu. Baada ya muda fulani kupita wataanza mizengwe ya kiwizi kama ile kampuni ya bosi fulani wa TANESCO mwenyeji wa mkoa wa Tanga ikaishia mahakamani...
Hayati alijua kuwa Mchechu ni team JK akawa anafanya kazi na kinyongo nae, alipopata data fulani chafu akaona hapa hapa ndio pa kumtupa jongoo na mti wake.Hvi NGH alifanya innovation gani maana sikuwahi kuona mabadiliko ya maana kiuchumi kwa NHC...
Ongezea Matilda Buriani...Hadi Mwanaidi Majaar !
Makes sense... Mchechu hakuwa mbaya kiasi hichoHayati alijua kuwa Mchechu ni team JK akawa anafanya kazi na kinyongo nae, alipopata data fulani chafu akaona hapa hapa ndio pa kumtupa jongoo na mti wake.
No salary but posho Nene ya vikao plus fadhila kibao ili wapitishe mambo ya wakubwaHivi wajumbe wa bodi wanalipwa mshahara kila mwezi au hua inakuaje?
Ukisikia CCM ina wenyewe hiyo ndiyo maana yake, huwa nawashangaa wale waliounga juhudi na kuhamia huko na kujuiona nao ni wenye chama. Angalia akina Bashiru kimya kabisa, na huyu Polepole soon atatulizwa...hata mie nashangaa, wala keki ya Taifa ni walewale miaka nenda miaka rudi utadhani hakuna watz wengine wenye uwezo zaidi bhn!
Mmh mchechu hana uzuri.Makes sense... Mchechu hakuwa mbaya kiasi hicho
Angalia usije kufungwa bila kesiKagame alikuwa anamwingilia kinyume mwendazake
Shida niliyoona watu ni wasahaulifu. Jiwe ana vinyongo na visasi vyake vya ajabu sana.Hayati alijua kuwa Mchechu ni team JK akawa anafanya kazi na kinyongo nae, alipopata data fulani chafu akaona hapa hapa ndio pa kumtupa jongoo na mti wake.
Kabisa.....inavunja moyo sana kwa wale wapambanaji wa kweli ambao wapo kwa ajili ya nchi....Hi nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.
Noma sana !nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.
Huyo jiwe hakuwa muadilifu, bali alizuia uhuru wa habari ili upigaji wake na genge lake la makatili wa sukuma gang wasifahamike.
Unapomuona mwenzio hayuko sawasawa na wewe pia anakuona ivoivo! yaani wapo wanao kuona pia kuwa hauko sawasawa!! ajabu yake sasa ukiwaona watu wako sawa woote!! na wao watakuona uko sawa wakati wooote! kwa mantiki hiyo basi Mtu ni watu! !Mimi sio wao
Watu tupo sawa lakini hatupo sawasawa
Mkuu haya umeandika kutoka upande wako, ingependeza kama tungeyasikia ya upande wa Mchechu ili wenye akili waweze kuweka mizania sahihi ya kuupima ukweli unatoka kwa nani.Shida niliyoona watu ni wasahaulifu. Jiwe ana vinyongo na visasi vyake vya ajabu sana.
Ila mwa nchi ambayo ipo vizuri, mchechu angekuwa anatumikia miaka ya kutosha jela.
Alikuwa akifanya miradi mikubwa ya NHC kwa kutumia kampuni zake
NHC imebaki na madeni makubwa Sana, na bado serikali inaendelea kuihudumia
NHC na Tanesco ni mashirika ya ajabu sana kutokana na ujinga na upumbavu wa viongozi wachache