Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Sibishani na mbumbumbu,Jk huyu alishindwa kufufua miundombinu ya reli,aje ajenge Sgr?miaka 25 train haikuwai kufika kilimanjaro,imefikishwa na Magufuri,alafu unasema alikuwa na akili za kujenga Sgr, wakati kuendeleza aliyoachiwa yalimushinda,kila siku ilikuwa ni kuzurula Nchi za watu, baada ya kujenga Nchi yake, ndio mtindo alioanza nao mama yenu
Anamwongelea Kikwete yupi?
Au siye Yule alipoona Bunge linakaribia kuvunjwa na nafasi za uteuzi zilibakia mbili,akateua ili wakachukue kiinua mgongo Cha 250m kila mmoja?
 
Anamwongelea Kikwete yupi?
Au siye Yule alipoona Bunge linakaribia kuvunjwa na nafasi za uteuzi zilibakia mbili,akateua ili wakachukue kiinua mgongo Cha 250m kila mmoja?
Uyu ni rofa inaonekana inaonekana alikuwa na chuki na Magufuri, Kikwete kulinganishwa na Magufuri ni kama Mlima na Kichugu, Miaka 5 tu Magufuri kafanya yaliyowashinda marais 4 Magufuri kayafanya kwa miaka 5 tu (according Mwinyi)
 
Miradi ya umeme viongozi wa Africa wanatumia kama machaka ya kupigia pesa.
Duniani kote umeme ni rahisi sana kupatikana,hata mliotembea Nchi za Ulaya-mliwahi kusikia wapi kwamba upatikanaji wa umeme ni issue critical kwa Nchi??.Hamna nishati rahisi kupatikana kama ememe.

Imagine Nikola Tesla na idea yake ya wireless electricity mwaka 1890,Hii maana yake kuwa kitu kinaitwa umeme ni rahisi sana kupatikana tena kwa Nchi kama Tanzania ambapo hatuna viwanda vikubwa vinavyo consume umeme ndio rahisi kabisa.

Lakini Tanzania imekuwa ni dana Dana toka tumepata Uhuru 1961 tuna hangaika na umeme-jambo ambalo ni useless kabisa.
 
Kukomoana, Mchechu alifukuzwa na Jiwe, sasa wewe unamruddisha.... naishia hapa
Hawa kina Mchechu wanaweza kuwa ni creative minds lakini ni wapigaji fulani tu. Baada ya muda fulani kupita wataanza mizengwe ya kiwizi kama ile kampuni ya bosi fulani wa TANESCO mwenyeji wa mkoa wa Tanga ikaishia mahakamani.

Wanasema kuwa ni wachapakazi na wanajituma wanapokuwa maofisini lakini kaupigaji kapo ndani ya damu zao.

Wanasema Mama Samia ni JK wa kiume, nataka sana nione kama ni kweli au wanamzushia, tuombe Mungu atupe uhai.
 
Hawa kina Mchechu wanaweza kuwa ni creative minds lakini ni wapigaji fulani tu. Baada ya muda fulani kupita wataanza mizengwe ya kiwizi kama ile kampuni ya bosi fulani wa TANESCO mwenyeji wa mkoa wa Tanga ikaishia mahakamani...
Hvi NGH alifanya innovation gani maana sikuwahi kuona mabadiliko ya maana kiuchumi kwa NHC...
 
Hvi NGH alifanya innovation gani maana sikuwahi kuona mabadiliko ya maana kiuchumi kwa NHC...
Hayati alijua kuwa Mchechu ni team JK akawa anafanya kazi na kinyongo nae, alipopata data fulani chafu akaona hapa hapa ndio pa kumtupa jongoo na mti wake.
 
hata mie nashangaa, wala keki ya Taifa ni walewale miaka nenda miaka rudi utadhani hakuna watz wengine wenye uwezo zaidi bhn!
Ukisikia CCM ina wenyewe hiyo ndiyo maana yake, huwa nawashangaa wale waliounga juhudi na kuhamia huko na kujuiona nao ni wenye chama. Angalia akina Bashiru kimya kabisa, na huyu Polepole soon atatulizwa...
 
Makes sense... Mchechu hakuwa mbaya kiasi hicho
Mmh mchechu hana uzuri.
Miradi ha NHC ilifanywa na kampuni zake kwa gharama kubwa
Ameacha madeni mengi kutokana na hiyo miradi.
Ni kama jiwe alivyokuwa ananunua ndege kisa tu shirika halina ndege. Huku akiiacha ATCL na mzigo wa madeni
 
Hayati alijua kuwa Mchechu ni team JK akawa anafanya kazi na kinyongo nae, alipopata data fulani chafu akaona hapa hapa ndio pa kumtupa jongoo na mti wake.
Shida niliyoona watu ni wasahaulifu. Jiwe ana vinyongo na visasi vyake vya ajabu sana.
Ila mwa nchi ambayo ipo vizuri, mchechu angekuwa anatumikia miaka ya kutosha jela.
Alikuwa akifanya miradi mikubwa ya NHC kwa kutumia kampuni zake
NHC imebaki na madeni makubwa Sana, na bado serikali inaendelea kuihudumia
NHC na Tanesco ni mashirika ya ajabu sana kutokana na ujinga na upumbavu wa viongozi wachache
 
Hi nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.
Kabisa.....inavunja moyo sana kwa wale wapambanaji wa kweli ambao wapo kwa ajili ya nchi....
Ifike mahali kasumba za namna hii zikemewe vikali sana haiwezekani watu wameiumiza nchi alafu wanafunguliwa mlango wa nyuma waingie tena ukizingatia hata makosa waliyofanya nyuma hawakupewa adhabu yoyote.....
 
Naona ulaji unahama toka kwa sukuma gang walioondesha nchi kwa ukatili, unahamia kwa Msoga line wanaokupiga wakitabasamu.
 
nchi si ya kuongozwa na wapigaji anatakiwa kichaaa mwingine mfano wa Jiwe.

Huyo jiwe hakuwa muadilifu, bali alizuia uhuru wa habari ili upigaji wake na genge lake la makatili wa sukuma gang wasifahamike.
 
Noma sana !
 
Mimi sio wao
Watu tupo sawa lakini hatupo sawasawa
Unapomuona mwenzio hayuko sawasawa na wewe pia anakuona ivoivo! yaani wapo wanao kuona pia kuwa hauko sawasawa!! ajabu yake sasa ukiwaona watu wako sawa woote!! na wao watakuona uko sawa wakati wooote! kwa mantiki hiyo basi Mtu ni watu! !

inategemea unajisikiaje kifkra/ mtizamo hasi au chanya ukiwa na wao hao! watu!
 
Shida niliyoona watu ni wasahaulifu. Jiwe ana vinyongo na visasi vyake vya ajabu sana.
Ila mwa nchi ambayo ipo vizuri, mchechu angekuwa anatumikia miaka ya kutosha jela.
Alikuwa akifanya miradi mikubwa ya NHC kwa kutumia kampuni zake
NHC imebaki na madeni makubwa Sana, na bado serikali inaendelea kuihudumia
NHC na Tanesco ni mashirika ya ajabu sana kutokana na ujinga na upumbavu wa viongozi wachache
Mkuu haya umeandika kutoka upande wako, ingependeza kama tungeyasikia ya upande wa Mchechu ili wenye akili waweze kuweka mizania sahihi ya kuupima ukweli unatoka kwa nani.
 
Back
Top Bottom