Mama Samia ni Rais wa nchi huru, ni kiongozi mkuu wa serikali, nimtendaji mkuu wa serikali ,ni amiri Jeshi mkuu wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama.
Ana haki ya kupanga safu yake inayomfaa hata kama wengine hawaipendi kwa sababu ya sababu za kishamba tu.
Mama Panga safu yako inayokutii na kufanya unachopanga na katiba inavyoelekeza.
Tena namshauri Mama Samia afuatilie kwa karibu wale wote wanaomletea Chokochoko kujaribu kumpinga kama akina Msukuma na Pole pole wachunguzwe Mali zao mana ndizo zinazowapa kiburi.
Musukuma aanajifanya anawapigania Wavamizi waliojenga kwenye mitaro ya maji ya barabara na barabara nzima vibanda wakati Alikaa kimya watoto waliokua wanalala nje kule kimara baada ya barabara kuwafuata na kuvunja nyumba zao mbali na amri ya mahakama ya kusitisha uvunjaji ule uliokua unakiuka haki za binadamu. Leo Mnafiki ,mkabila ,mdini wa kipagani ,Gaidi aliyevuruga familia ya Alfonsi Mawazo anajifanya kutetea mabanda ya mbao yanayotolewa barabarani ili hao wamachinga waemdelee na safari zao za kuuza bidhaa kwa kutembea na kuzunguka mijini na sio kujenga kama walivyofanya. Wakijenga basi wanahamishiwa maeneo yao wakajenge huko sio kwenye barabara.
Wale wananchi wa Kimara hawakupewa hata viwanja vingine wakati ardhi ni ya Mungu na ipo kila mahali ni suala la kuipangilia tu ili binadamu asikose pa kuishi. Hata hivyo Musukuma hakutoa tamko la kushawishi wabunge watoe tamko.
Wanaomletea dharau kubwa Rais wa awamu ya sita wapo ndani ya CCM na sio upinzani . Tena wapinzani wanamheshimu sana mama. Ni wajinga wachache tu wasiojua siasa safi ndio wanaomkosea mama adabu. Lakini hata Tundu Lisu anamkosoa kwa heshima kabisa Rais wetu .
Hivyo mama apange safu yake kwa namna anavyoona inafaa na asipangiwe na MTU yeyote. Panga pangua mama ni katiba hii hii nzuri ya maendeleo kwanza ndiyo inayokupa mamlaka hayo. Asiyetaka ahamiae Msumbiji. Sisi tunamuelewa mama.
Sent from my TECNO L8 Lite using
JamiiForums mobile app