Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Nehemia Mchechu na Lawrence Mafuru warejea ulingoni, January Makamba awateua Wajumbe wa Bodi ya TANESCO

Acha upumbavu wewe, ina maana hao jamaa pekee ndio wanaojua management sana kuliko wengine? Mbona kuna watu wako exposed na wana ma elimu makubwa tu ni Diaspora kwanini wasitafutwe hao kama hatuviamini vichwa vyetu vya UDSM?

Kiufupi hapo kitakachofata ni upigaji tu sawa na mbwa kumteua fisi na simba kukabidhiwa ulinzi wa bucha! Subirieni mgao na bei ya luku kupanda kwa sababu za ajabu ajabu. Sahizi wameanza na kisingizio cha kuweka nguzo za zege najua tutafikia ambako umeme unakatwa tu kwa kisingizio mabwawa yamekauka hayana maji y kutosha wakati mvua zilikuwa nyingi tu ili watu wauze majenereta na kukaribisha kampuni za mfukoni za kufua umeme.
Mbona hizo nguzo za zege hiyo project ilishakuwapo tangia kipindi cha Magufuli..

Msitafute sababu aisee
 
Makamba pia aneshawai kuwa kwenye cabinet ya Magufuli umesahau? Na Magufuli Pia ameshawai kuwa kwenye cabinet ya Kikwete!
Hujui ilo?
Uko sahihi, sahihi kabisa, lkn kuna "kuoa" mke ambaye hujamchagua ila umechaguliwa na wazazi. Kwa Kiwete alikuwa ni "mke" aliyemchagua, kwa Magufuli alikuwa ni "mke" wa kuchaguliwa na sasa kwa Samia ni "mke" wa kujichagulia 😀 😀 😀 😀 😀
 
Kuna kipindi enzi za Kikwete nadhani Makamba jr alikuwa mwandishi wake wa Hotuba...
exactly...... kwa Magufuli ilikuwa ni bora liende.. Kwa Samia (in the backdoor Kikwete), ndipo penyewe makamba anakula kitu roho inapenda
 
Mama Samia ni Rais wa nchi huru, ni kiongozi mkuu wa serikali, nimtendaji mkuu wa serikali ,ni amiri Jeshi mkuu wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama.
Ana haki ya kupanga safu yake inayomfaa hata kama wengine hawaipendi kwa sababu ya sababu za kishamba tu.

Mama Panga safu yako inayokutii na kufanya unachopanga na katiba inavyoelekeza.

Tena namshauri Mama Samia afuatilie kwa karibu wale wote wanaomletea Chokochoko kujaribu kumpinga kama akina Msukuma na Pole pole wachunguzwe Mali zao mana ndizo zinazowapa kiburi.
Musukuma aanajifanya anawapigania Wavamizi waliojenga kwenye mitaro ya maji ya barabara na barabara nzima vibanda wakati Alikaa kimya watoto waliokua wanalala nje kule kimara baada ya barabara kuwafuata na kuvunja nyumba zao mbali na amri ya mahakama ya kusitisha uvunjaji ule uliokua unakiuka haki za binadamu. Leo Mnafiki ,mkabila ,mdini wa kipagani ,Gaidi aliyevuruga familia ya Alfonsi Mawazo anajifanya kutetea mabanda ya mbao yanayotolewa barabarani ili hao wamachinga waemdelee na safari zao za kuuza bidhaa kwa kutembea na kuzunguka mijini na sio kujenga kama walivyofanya. Wakijenga basi wanahamishiwa maeneo yao wakajenge huko sio kwenye barabara.

Wale wananchi wa Kimara hawakupewa hata viwanja vingine wakati ardhi ni ya Mungu na ipo kila mahali ni suala la kuipangilia tu ili binadamu asikose pa kuishi. Hata hivyo Musukuma hakutoa tamko la kushawishi wabunge watoe tamko.

Wanaomletea dharau kubwa Rais wa awamu ya sita wapo ndani ya CCM na sio upinzani . Tena wapinzani wanamheshimu sana mama. Ni wajinga wachache tu wasiojua siasa safi ndio wanaomkosea mama adabu. Lakini hata Tundu Lisu anamkosoa kwa heshima kabisa Rais wetu .

Hivyo mama apange safu yake kwa namna anavyoona inafaa na asipangiwe na MTU yeyote. Panga pangua mama ni katiba hii hii nzuri ya maendeleo kwanza ndiyo inayokupa mamlaka hayo. Asiyetaka ahamiae Msumbiji. Sisi tunamuelewa mama.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Gachuma ni tajiri mkubwa ana njaa gani?,maajar ni wakili mkubwa sana na mwenye kipato kikubwa ana njaa gani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Issue sio utajiri,kuna watu ni matajiri lakini hawaridhiki hivyo hutamani na kutaka kila wanachokiona kiwe chao na ndio tabia ya hao mafisadi wote wanaotajwa kila kukicha ebu niambie ni nani masikini kati ya majina ya wale wanaotajwa kukubuhu kwa ufisadi? Utakuta hakuna hata mmoja lakini kinachowasumbua ni roho mbaya na ulafi uliopitiliza ndio vinawasumbua hawa ni sawasawa na watu wachoyo wanaoficha vyakula hadi vinawaozea badala ya kuwasaidia wengine.
 
Magufuli kakopa 49 trillion kwa miaka 5 JK makopa 21 trillion kwa miaka 10 who is the best
Ela za Magufuri angalau zimeonekana zilifanya kitu gani, kajenga miondombinu, Kikwete alikopa kwa ajili ya Safari tu, Wewe unakopa matrion alafu unashindwa kununua hata ndege moja tu, miaka 10 ya Kikwete ulikuwa ya asala.Mwinyi alisema Magufuri alifanya mambo makubwa yalitushinda kwa miaka 40, yeye tena kayafanya miaka 5 tu, Uwezi kulinganisha Magufuri na takataka hizi,kila wanawaza kuwaibia wananchi
 
Nimesema wapo, huko alipowatoa Jakaya wakati yuko madarakani wapo wengi tu wanafanya kwenye agency za kimataifa. Mfano ni mkurugenzi wa TPB ambayo sasa inaitwa TCB amekuja kuifufua bank ya Posta ila jamaa ni mtanzania alikuwa anafanyia ishu zake mamtoni huko. Watu wa aina hio ndio tunawahitaji sio kila siku kurudisha sura zile zile tu.
Prof Muhongo nae walimtoa hukohuko Mamtoni si ndio??
 
Ela za Magufuri angalau zimeonekana zilifanya kitu gani, kajenga miondombinu, Kikwete alikopa kwa ajili ya Safari tu, Wewe unakopa matrion alafu unashindwa kununua hata ndege moja tu, miaka 10 ya Kikwete ulikuwa ya asala.Mwinyi alisema Magufuri alifanya mambo makubwa yalitushinda kwa miaka 40, yeye tena kayafanya miaka 5 tu, Uwezi kulinganisha Magufuri na takataka hizi,kila wanawaza kuwaibia wananchi
Ukitoa kufufua ATCL, Magufuli amefanya nini ambacho hakikuweza kufanywa na wengine??

Na ATCL yenyewe ni hasara tupu..
 
Ukitoa kufufua ATCL, Magufuli amefanya nini ambacho hakikuweza kufanywa na wengine??

Na ATCL yenyewe ni hasara tupu..
Kama waliweza kufanya kwanini hawakufanya sasa kama sio kukumbatia ubinafsi na ufisadi kwa miaka yote madarakani!

Jambo la kufanyika kwa mwaka litafanywa miaka mitatu ili tu watu wajipigie hela za kifisadi kwa kujiongezea muda kwenye miradi halafu wakistukiwa wanakimbilia kuunda tume ya uchunguzi ndio unakuwa mwisho wa mchezo.

Magufuli hata kama alidokoa ila amefanya mambo yanayoonekana. Sio kuiba hela halafu majukumu yako kama kiongozi pia huyafanyi unakalia wizi tu.
 
Nini alichokifanya Magufuli??
 
Giza walianza kuleta chato gang kwa kumuhujumu Mama Samia na Ndo mana kawafukuzia mbali wote
Muda sio mrefu genge lako linalokupa ulaji kwa sasa mtaturudisha enzi za JK za majenereta na dili za mafuta ya umeme ambazo jiwe alizivuruga.
 
Mama Samia ni Rais wa nchi huru, ni kiongozi mkuu wa serikali, nimtendaji mkuu wa serikali ,ni amiri Jeshi mkuu wa majeshi yetu ya ulinzi na usalama.
Ana haki ya kupanga safu yake inayomfaa hata kama wengine hawaipendi kwa sababu ya sababu za kishamba tu.

Mama Panga safu yako inayokutii na kufanya unachopanga na katiba inavyoelekeza.

Tena namshauri Mama Samia afuatilie kwa karibu wale wote wanaomletea Chokochoko kujaribu kumpinga kama akina Msukuma na Pole pole wachunguzwe Mali zao mana ndizo zinazowapa kiburi.
Musukuma aanajifanya anawapigania Wavamizi waliojenga kwenye mitaro ya maji ya barabara na barabara nzima vibanda wakati Alikaa kimya watoto waliokua wanalala nje kule kimara baada ya barabara kuwafuata na kuvunja nyumba zao mbali na amri ya mahakama ya kusitisha uvunjaji ule uliokua unakiuka haki za binadamu. Leo Mnafiki ,mkabila ,mdini wa kipagani ,Gaidi aliyevuruga familia ya Alfonsi Mawazo anajifanya kutetea mabanda ya mbao yanayotolewa barabarani ili hao wamachinga waemdelee na safari zao za kuuza bidhaa kwa kutembea na kuzunguka mijini na sio kujenga kama walivyofanya. Wakijenga basi wanahamishiwa maeneo yao wakajenge huko sio kwenye barabara.

Wale wananchi wa Kimara hawakupewa hata viwanja vingine wakati ardhi ni ya Mungu na ipo kila mahali ni suala la kuipangilia tu ili binadamu asikose pa kuishi. Hata hivyo Musukuma hakutoa tamko la kushawishi wabunge watoe tamko.

Wanaomletea dharau kubwa Rais wa awamu ya sita wapo ndani ya CCM na sio upinzani . Tena wapinzani wanamheshimu sana mama. Ni wajinga wachache tu wasiojua siasa safi ndio wanaomkosea mama adabu. Lakini hata Tundu Lisu anamkosoa kwa heshima kabisa Rais wetu .

Hivyo mama apange safu yake kwa namna anavyoona inafaa na asipangiwe na MTU yeyote. Panga pangua mama ni katiba hii hii nzuri ya maendeleo kwanza ndiyo inayokupa mamlaka hayo. Asiyetaka ahamiae Msumbiji. Sisi tunamuelewa mama.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Mtu ambaye amejenga kwenye road reserve na alishapewa notice shida inakuwa ni nini? Utailaumu serikali kwa hilo?
 
Bodi za Tanzania hazinaga ufanisi ndio maana, likumbuke hilo. Sio za kufanya applications as a result wanateuana watumishi wa wastaafu na wasiku nyingi serikalini na taasisi zake plus wafanyabishara maarufu.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ni njaa tu za nchi zetu lakini kiuhalisia huwezi kumteua MTU ambaye hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa Kamati ya Send off kwenye mashirika au serikalini . Vijana wanapaswa wafanye kazi kwenye Idara mbalimbali ili wajue changamoto zilizopo kwenye ajira na baadae ndipo wanaweza kuteuliwa kwenye nafasi hizo.

Mtu hajawahi kuwa hata mfanyakazi wa serikali utampaje Ukurugenzi wa halmashauri au UDC.
DC hajui hata changamoto za kiuslama na masuala mazima ya kiusalama unamtuo huko kwenye sana za ngoma za kizungu unampa UDC au uRC . Matokeo yake hawana jipya zaidi ya kupora Mali za watu na kutisha watu. Wanajivika amri za kijeshijeshi bila kujua miiko ya kijeshi. Matokeo yake ni Kujenga chuki na uhasama kwenye jamii.

Vijana fanyeni kazi kwenye Kata ,Tarafa, Idara za Elimu,afya,Majeshi n.k. Uwezo wenu uonekane sio haya mambo ya kuteuana kwa kushangilia na kucheza ngoma majukwaani na kuiga sauti za viongozi.

Makamba hakuibuka tu kutoka hewani . Ni kijana aliyeandaliwa kwa muda mrefu ndio mana ni mkomavu japo sijajua usafi wake kwenye Mali za umma.
Akiharibu atawekwa pembeni lakini tusimhukumu eti ameteuliwa tena.Anaweza na ana uwezo .

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom