Nakubaliana, sina cha kuongeza juu ya uzoefu wa wanabodi walioupata wakiwa viongozi ktk ubalozi, biashara kubwa, kampuni na idara nyeti za kuendesha masuala ya fedha na ujenzi.
Mfano mwanabodi Abubakar Bahkresa anatoka ktk viwanda binafsi, suala la umeme na uzalishaji viwandani anaelewa unyeti wa kuwa na umeme wa kuaminika na wa bei nafuu.
Balozi Mwanaidi Majaar, balozi mstaafu wa Tanzania ulaya na Marekani ya Kaskazini pia ni Mwanasheria mbobevu.
Mwanaidi Sinare Majaar | Rex Attorneys | ICLG
Mchechu aliongoza NHC kwa kuonesha uthubutu uliokuwa UK mbele ya wakati kiasi akafanyiwa fitna.
Nehemiah Mchechu
Lawrence Mafuru mtaalamu wa masuala ya fedha na mitaji, bila kusahau kuongoza taasisi nyeti. Hapa TANESCO watafaidika na uzoefu wake.
FIMCO