NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

Huko nasikia mtu akiwa hana kitu Serikali inamsaidia ili asife njaa hapa wanajihurumia wenye presha wakati wenye njaa wanashindia mlo mmoja.
Utaratibu huu wa kuwasaidia raia ulianza baada ya vita ya Dunia
Watu wengi walikufa na wengi kupoteza kila kitu na muelekeo pia

Ndio sheria ikapitishwa wananchi wasaidiwe kwa hali na mali

Sasa hapa kila kitu ni msaada tu ingawa tunalipa kodi kubwa lakini tunaona zinavyotusaidia

Mtu akikosa kazi ila sio kuacha mwenyewe basi hapo atapewa msaada wa kujikimu na atalipiwa nyumba,
Matibabu ni bure na shule bure kwa watoto
Zamani watu walikuwa wanasaidiwa miaka na miaka ila sasa matapeli yamevamia nchi

Kama hujatafuta kazi mda wa miezi 6 hela zinakatwa
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Nchi hii ina upumbavu sana sana
 
Unaliona hilo kuja kutokea ikingali hichi chama chenya laana kikingali madarakani hapa Tanzani?
 
Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?
Misho wa miti huja mwilini, Manyani hawa.
Nchi hii ina sheria za kupiga muziki zinazokubalika,kwanini hamwendi mahakamni?
Hili la dini limekujaje hapa?
Yaani upigie watu kelel Mtaani halafu usingizie Udini ,kweli wagonjwa wameongezeka nchi hii.
Taifa la wasanii na walevi hili?
KAZI KWELI KWELI
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Kelele ni kero. Tumiene bluetooth -speaker za makioni. Mbona raha zaidi. Kelele zinaweza kuharibu mimba changa (Science). Ila baa ziwe 24HRs/Masaa 24
 
Huna hoja.

Bar lazima waweke mziki wa juu?

Kama mnataka muziki wajuu jengeni bar nje ya mji pasipo makazi ya raia.

Wananchi pembezoni mwa bar wanateseka sana.

Katika hili niko na serikali
Baa za Kelele ziende Pugo road / Industria area, Mkuranga au Chalinze. Hata Ulaya iko hivyo
 
Mimi ni mdau mkubwa wa kwenda bar na napenda music pia. Ila kwa mweli kuishi karibu na bar kelele za muziki huwa ni Kero sana. Yaani asikwambie mtu.

Kwenye hili wamiliki wa mabar kwa kweli sipo nao
 
Biashara inapaswa kuwa halali isiyomnyima mwingine haki. Sasa hivi unaweza usione ila ukifika ule umri ambao kelele za ghafla zinaweza kuchukua uhai wako utaelewa.
 
NEMC washikilie hapo hapo imagine Kuna makanisa ilikuwa nyumba imegeuzwa eti kanisa Kwa eneo lililokuwa makazi wanaimba usiku mzima na ma speaker juu.
Hujakosea na kila iitwapo leo wanazidi kuongezeka kwa hili hata mm nasapoti
 
Amsha Amsha...

Unaingia Babati mjini ....cha kwanza...unatafuta sehemu yenye amshaamsha....huko ndo mji upo...
Unaingia Mpanda bila kufika mtaa wa Simba au Wa fisi ujuwe hujafika Mpanda

Tabora Oxygen ....

Mnahamasishwa Utaliii wa Ndani kwa maendeleo ya Taifa...
 
Unaliona hilo kuja kutokea ikingali hichi chama chenya laana kikingali madarakani hapa Tanzani?
Ni ndoto ya mchana mkuu
Na hao hao wanatoka kwenye jamii ambayo kumsaidia masikini hata 200 unakwepa ila direct debit kutoka kwenye mshahara unapeleka mahali kumtajirisha mtu mmoja

Hawa waliopo kwenye madaraka ndio hao hao tuko nao ila wamejitenga na kujitengenezea himaya yao isiyozidi hata watu laki moja wakisaidiana na na tycoons wetu huko

Haitakuja kutokea huko
Angalia elimu bure ila watoto wanaaambiwa waende na majivu ili wamwage chini na kufanya daftari

Wao wanafurahia umasikini wa watu ili wazidi kutawala na hawajali kabisa na atakaejaribu kuwakwamisha wananamuondoa wajuavyo

Ukiwa kiongozi lazima ufuate masharti
 
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!

Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio maana sasa mnaitumia NEMC kuhakikisha mnatupora hata hiki tulichobakiwa nacho!

Mh ukiwasikiliza baadhi ya wamiliki wa bar utagundua kabisa NEMC sasa hawana tofauti na TRA wanao funga biashara za watu Pia ni wazi kabisa hata wamiliki wenyewe hawajui kabisa hicho kipimo cha kelele badala yake wanashitukizwa na kuambiwa muziki umezidi kiwango hivyo wanafungiwa bar zao na biashara!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wanazifungua baadhi ya bar na kumbi kutokupiga muziki kabisa…kupitia EFM nimewasikia baadhi ya wamiliki wa bar wakieleza kwa uchungu jinsi ambavyo wameharibiwa biashara zao!

NEMC wamekwenda mbele zaidi wamezifungia kabisa baadhi ya bar kupiga muziki kabisa ikiwemo Liquid bar ya Dar.

Hivi kweli bar gani itaendeshwa bila muziki nchi hii? Mama Samia hawafanya biashara mnataka wakale wapi? Wataishi vipi?

Hivi kwanini mnataka kuigeuza nchi hii ni ya kidini?

Jamani pesa za serikali mnazitumbua peke yenu na hakuna anayewafanya chochote sasa mnatuzuia hata sisi kuburudika na muzuki? Mnataka tukaishi wapi?
Hivi umewai kaa karibu na baa zenye mziki unaopigwa usiku kucha na una watoto wanaotaka soma/kufanya home work??
 
huku Mkuu umaskini ndo MTAJI

Back
Top Bottom