Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Utaratibu huu wa kuwasaidia raia ulianza baada ya vita ya DuniaHuko nasikia mtu akiwa hana kitu Serikali inamsaidia ili asife njaa hapa wanajihurumia wenye presha wakati wenye njaa wanashindia mlo mmoja.
Watu wengi walikufa na wengi kupoteza kila kitu na muelekeo pia
Ndio sheria ikapitishwa wananchi wasaidiwe kwa hali na mali
Sasa hapa kila kitu ni msaada tu ingawa tunalipa kodi kubwa lakini tunaona zinavyotusaidia
Mtu akikosa kazi ila sio kuacha mwenyewe basi hapo atapewa msaada wa kujikimu na atalipiwa nyumba,
Matibabu ni bure na shule bure kwa watoto
Zamani watu walikuwa wanasaidiwa miaka na miaka ila sasa matapeli yamevamia nchi
Kama hujatafuta kazi mda wa miezi 6 hela zinakatwa