Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
1300 ndio idadi inayotambulikaSisi Zanzibar tumepoteza kwa maelfu wakati wa Uvamizi wa Nyerere na kila uchaguzi ukifika tunapoteza watu . Wacha na nyinyi muonje joto la Jiwe . Karma inafanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1300 ndio idadi inayotambulikaSisi Zanzibar tumepoteza kwa maelfu wakati wa Uvamizi wa Nyerere na kila uchaguzi ukifika tunapoteza watu . Wacha na nyinyi muonje joto la Jiwe . Karma inafanya kazi
Soma comment yangu hapo #7,najua na nimeshafika kwenye ofisi zao,kipindi hichoooHuogopi risks kaka????Njoo nikupe michongo then you can took ur chance bro
Alikuwa mwizi,alifungwa baada ya kufanya Criminal Offense huko Russia.Maisha yamekuwa magumu.
Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna.
Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao.
Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.View attachment 2496849
We mtoto wa mama kaa kimyaHakuna ushujaa kwenye hili. He was used
Ukweli utabaki kuwa ni shujaaAlikuwa mwizi,alifungwa baada ya kufanya Criminal Offense huko Russia.
Baadae akafanya pre-bargain akiwa ni mfungwa tayari.
Akakubali kutumikia wagner Group!
Kil8chofuata ni historia kwa sasa!
Tena sio kwake tu wako waafrika wengi huko Urusi, ambao yamewakuta hayo!
Ushujaa wake ni upi?
Au kuwa mwanachadema alie wahi kugombea ubunge hapa Dar es Salaam??
Kaka kuna deal la mamuluki wa kwenda kupigana mali na niger na burkinabe!!!!Mnazunguka ukanda wote wa sahel!!!!Kama upo tayari na huogopi risks niambieSoma comment yangu hapo #7,najua na nimeshafika kwenye ofisi zao,kipindi hichooo
Hili jukwaa limevamiwa na wavuta bangi. Mtu akifanya jambo la hovyo shujaa. Acha kusingizia serikali kwa uzembe wako kazi ziko nyingi. Sasa km umekaa mjini uitiwe kazi utalalamika mpaka utazeeka. Kinachowasumbua uvivu. Huyo Nemes kafanya uhalifu nchi ya watu pengine aliiba si alifikiri yuko bongo eti leo shujaa, huna hata aibu unakuja na uzi km huu? Siyo bure km si bangi ni afya ya akiliMaisha yamekuwa magumu.
Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna.
Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao.
Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.View attachment 2496849
Nope mkuu,mimi ninaijua ofisi yao ,nakula pesheni tu huku lingusenguse, thanksKaka kuna deal la mamuluki wa kwenda kupigana mali na niger na burkinabe!!!!Mnazunguka ukanda wote wa sahel!!!!Kama upo tayari na huogopi risks niambie
Ushawahi kufika bamako kaka????Au ofisi ipi unayoisemea kaka???Nope mkuu,mimi ninaijua ofisi yao ,nakula pesheni tu huku lingusenguse, thanks
ShujaaaNi kweli kijana aliamua kupambana na maisha kwa namna yoyote ile ya kurisk maisha, na daima upambanaji wenye kurisk sana ndo uwa uanatoa sana kimaisha, lkn imekuwa bahati mbaya sana kwake, vijana wengi sana wa kiafrika hasa nchi za magharibi wameweza sana kurisk maisha yao ktk hali km hizo na mwisho wa simu wameweza kutoboa na wengine wameishia kufa, lkn yote iyo ni kwa namna gani mapambano yamaisha yanavyoweza fanyika kulingana na mfumo wa maisha unayoyapitia, kwa ufupi tutegemee sana vijana wa Afrika mashariki has a wasomi kujiunga sana na ayo makundi.
Na apa nampongeza sana Raisi wangu Mama Samia kwa kuliona hilo kwa kuanzisha program za kilimo kwa Vijana wa kitanzania, kiasi kwamba kila kijana atapewa Elimu ya awali ya namma ya kumiliki Shamba pamoja na uwezesho wa kimtaji na pembejeo, kwa Ajili ya kilimo chenye tija kwa taifa letu.
Hongera sana Mh Raisi
Hakuvunja Sheria. Wagner ni PMC.Je alivunja sheria?,ndio mada inayojadiliwa hapa
Wewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikia
Ongeza zero moja ni 130001300 ndio idadi inayotambulika
Kaka vipi ushaenda oman au bado!!!!!Karibu kisiwandui ASP tupo kaka hata hizbu mnakaribishwaKama unanipa kijiji kwenu Chato sawa , unipe na ile hoteli na airport ya Chato, maana karibu utaanza kutumiwa na Wachawi wa Chato
Ikiingia chadema madarakani itatoa ajira?
Sasa aliweza kufika urusi na akaenda jela huko ccm ilihusikaje? Au ccm ina mkono wa ajira hadi kwenye nchi za watu?
Mda mwengine kukaa kimya ni heri kuliko kumaliza heshima yako kidogo iliyobaki kwa kuongea ujinga.
Kumbe alikuwa mnyakyusa .anazikwa mbeyaIla jamaa alikuwa mbabaishaji sana
Ukienda kwa milad ayo ana miaka 34
Ukienda the chanzo wana sema amezaliwa 1990
Leo familia wana mzika akiwa na tarehe tofauti 1984
Hatari sana...