Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Nemes Tarimo alikuwa ni shujaa japokuwa alivunja sheria za nchi. Wasomi wengi hawana ajira na wapo frustrated, CCM hawajali

Sisi Zanzibar tumepoteza kwa maelfu wakati wa Uvamizi wa Nyerere na kila uchaguzi ukifika tunapoteza watu . Wacha na nyinyi muonje joto la Jiwe . Karma inafanya kazi
1300 ndio idadi inayotambulika
 
Japo mtazamo wako ni wa hovyo ila wakulaumiwa sio wewe.

Linapokuja swala la propaganda serikali inatakiwa ku set view point kupitia vyombo vya habari.

Pili jukumu la serikali ni kutoa elimu kwa raia wake kuhusu maswala mbali mbali.

Ukitaka kujua kiwango cha uzembe wa hawa ni hivi badala ya kusema ukweli kuhusu Wagner recruitment tactics zilizopelekea ndugu yetu kupoteza maisha wanataka kumlaumu mtu aliekuwa kwenye vulnerable position kupewa ultimatum.

Kujiunga na jeshi la Russia sio sawa na majeshi ya NATO voluntary.

Ni hivi this is what NATO offers.

Ulazimushwi na wala ufuatwi ukiwa katika mazingira magumu kama jela.

Pili kuna swala la kupewa uraia wao ata kama wewe sio full time soldier.

Kuna option ya kukuendeleza kielumu ya shahada yoyote ukitoka jeshini ambayo unaweza itumia jeshini au uraiani.

Yaani ukimsikilize waziri maelezo yake it’s as if marehemu alikuwa na options. Hawa watu wana fikia vipi hizi nafasi hasa washauri wa waziri yanapotokea matukio nje ya nchi na kumshauri cha kuongea.

Lakini akili zetu waafrica. dah
 
Maisha yamekuwa magumu.

Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna.

Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao.

Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.View attachment 2496849
Alikuwa mwizi,alifungwa baada ya kufanya Criminal Offense huko Russia.

Baadae akafanya pre-bargain akiwa ni mfungwa tayari.

Akakubali kutumikia wagner Group!

Kil8chofuata ni historia kwa sasa!

Tena sio kwake tu wako waafrika wengi huko Urusi, ambao yamewakuta hayo!

Ushujaa wake ni upi?

Au kuwa mwanachadema alie wahi kugombea ubunge hapa Dar es Salaam??
 
Ukweli utabaki kuwa ni shujaa
 
Soma comment yangu hapo #7,najua na nimeshafika kwenye ofisi zao,kipindi hichooo
Kaka kuna deal la mamuluki wa kwenda kupigana mali na niger na burkinabe!!!!Mnazunguka ukanda wote wa sahel!!!!Kama upo tayari na huogopi risks niambie
 
Maisha yamekuwa magumu.

Degree zimetapakaa uraiani kama njugu. Ajira hakuna.

Mabazazi wa CCM wanakula nchi na familia zao.

Vijana mashujaa wanajilipua huko nje kusaka maisha.View attachment 2496849
Hili jukwaa limevamiwa na wavuta bangi. Mtu akifanya jambo la hovyo shujaa. Acha kusingizia serikali kwa uzembe wako kazi ziko nyingi. Sasa km umekaa mjini uitiwe kazi utalalamika mpaka utazeeka. Kinachowasumbua uvivu. Huyo Nemes kafanya uhalifu nchi ya watu pengine aliiba si alifikiri yuko bongo eti leo shujaa, huna hata aibu unakuja na uzi km huu? Siyo bure km si bangi ni afya ya akili
 
Ni kweli kijana aliamua kupambana na maisha kwa namna yoyote ile ya kurisk maisha, na daima upambanaji wenye kurisk sana ndo uwa uanatoa sana kimaisha, lkn imekuwa bahati mbaya sana kwake, vijana wengi sana wa kiafrika hasa nchi za magharibi wameweza sana kurisk maisha yao ktk hali km hizo na mwisho wa simu wameweza kutoboa na wengine wameishia kufa, lkn yote iyo ni kwa namna gani mapambano yamaisha yanavyoweza fanyika kulingana na mfumo wa maisha unayoyapitia, kwa ufupi tutegemee sana vijana wa Afrika mashariki has a wasomi kujiunga sana na ayo makundi.
Na apa nampongeza sana Raisi wangu Mama Samia kwa kuliona hilo kwa kuanzisha program za kilimo kwa Vijana wa kitanzania, kiasi kwamba kila kijana atapewa Elimu ya awali ya namma ya kumiliki Shamba pamoja na uwezesho wa kimtaji na pembejeo, kwa Ajili ya kilimo chenye tija kwa taifa letu.
Hongera sana Mh Raisi
 
Ikiingia chadema madarakani itatoa ajira?

Sasa aliweza kufika urusi na akaenda jela huko ccm ilihusikaje? Au ccm ina mkono wa ajira hadi kwenye nchi za watu?

Mda mwengine kukaa kimya ni heri kuliko kumaliza heshima yako kidogo iliyobaki kwa kuongea ujinga.
 
Kaka kuna deal la mamuluki wa kwenda kupigana mali na niger na burkinabe!!!!Mnazunguka ukanda wote wa sahel!!!!Kama upo tayari na huogopi risks niambie
Nope mkuu,mimi ninaijua ofisi yao ,nakula pesheni tu huku lingusenguse, thanks
 
Ni kweli kijana aliamua kupambana na maisha kwa namna yoyote ile ya kurisk maisha, na daima upambanaji wenye kurisk sana ndo uwa uanatoa sana kimaisha, lkn imekuwa bahati mbaya sana kwake, vijana wengi sana wa kiafrika hasa nchi za magharibi wameweza sana kurisk maisha yao ktk hali km hizo na mwisho wa simu wameweza kutoboa na wengine wameishia kufa, lkn yote iyo ni kwa namna gani mapambano yamaisha yanavyoweza fanyika kulingana na mfumo wa maisha unayoyapitia, kwa ufupi tutegemee sana vijana wa Afrika mashariki has a wasomi kujiunga sana na ayo makundi.
Na apa nampongeza sana Raisi wangu Mama Samia kwa kuliona hilo kwa kuanzisha program za kilimo kwa Vijana wa kitanzania, kiasi kwamba kila kijana atapewa Elimu ya awali ya namma ya kumiliki Shamba pamoja na uwezesho wa kimtaji na pembejeo, kwa Ajili ya kilimo chenye tija kwa taifa letu.
Hongera sana Mh Raisi
Shujaaa
 
Wewe zanzbar?????Wakati babu zako wametokea tanganyika!!!!!Au ndio kitwana wa waarabu wa omani!!!!!Hzbu bhana mna matatizo sana ndio maana sheikh karume aliwashughulikia

Kama unanipa kijiji kwenu Chato sawa , unipe na ile hoteli na airport ya Chato, maana karibu utaanza kutumiwa na Wachawi wa Chato
 
Kama unanipa kijiji kwenu Chato sawa , unipe na ile hoteli na airport ya Chato, maana karibu utaanza kutumiwa na Wachawi wa Chato
Kaka vipi ushaenda oman au bado!!!!!Karibu kisiwandui ASP tupo kaka hata hizbu mnakaribishwa
 
Ikiingia chadema madarakani itatoa ajira?

Sasa aliweza kufika urusi na akaenda jela huko ccm ilihusikaje? Au ccm ina mkono wa ajira hadi kwenye nchi za watu?

Mda mwengine kukaa kimya ni heri kuliko kumaliza heshima yako kidogo iliyobaki kwa kuongea ujinga.

Ccm ni janga kwa Watanzania. Full stop
 
Ila jamaa alikuwa mbabaishaji sana

Ukienda kwa milad ayo ana miaka 34

Ukienda the chanzo wana sema amezaliwa 1990

Leo familia wana mzika akiwa na tarehe tofauti 1984

Hatari sana...
Kumbe alikuwa mnyakyusa .anazikwa mbeya
Ushaona tarimo wa mbeya wewe??
 
Back
Top Bottom