Neno "DEAR" linatumika vibaya au ni Ushamba wangu

Kama lipo normal kwann Mwanaume huwezi mwambia... "Mambo Dear" why?
Ni normal kwa sisi wanawake, kama umeshibana na mtu tunaitana sana dear, hata my love.
Lakini siwezi kumuita mwanaume dear kama hatuna chembechembe za mahaba ndani yetu.
 
Dear tu
Mimi wateja wangu nawaita mpenzi
Darling
My love

Si ni bora niwapambe wanaonipa jeuri
 
Dear tu
Mimi wateja wangu nawaita mpenzi
Darling
My love

Si ni bora niwapambe wanaonipa jeuri
So ni marketing strategy😀.
Mimi kama mteja sipendi kuitwa hivyo naweza hata nikaghairi kununua.
 
Mpendwa mteja tuna furaha kukutangaza kama mshindi wetu wa droo yetu ya kila mwezi ya kausha damu- Dear customer we are pleased to announce to you as a winner of our monthly draw of kausha damu
 
Nani alikudanganya dear ni kati wapenzi tu? Ushamba mwengine! Barua zangu zote nilipofika form two na kutaka kuwaonyesha ndugu zangu kuwa nimeanza kujua kiingereza nilikuwa naanza na ''Dear sister, Dear Father, Dear Brother.....
 
Mpendwa mteja tuna furaha kukutangaza kama mshindi wetu wa droo yetu ya kila mwezi ya kausha damu- Dear customer we are pleased to announce to you as a winner of our monthly draw of kausha damu
Hiyo ni kikazi zaidi inaeleweka.
 
Nani alikudanganya dear ni kati wapenzi tu? Ushamba mwengine! Barua zangu zote nilipofika form two na kutaka kuwaonyesha ndugu zangu kuwa nimeanza kujua kiingereza nilikuwa naanza na ''Dear sister, Dear Father, Dear Brother.....
Hata barua za ofsi tunaandika dear sir, dear madam etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…