johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mahakama haitoi Haki bali inatafsiri sheria.Bwashee rilaxx, kwani watu huenda mahakamani kudai wajibu au haki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama haitoi Haki bali inatafsiri sheria.Bwashee rilaxx, kwani watu huenda mahakamani kudai wajibu au haki?
Haki ni ya Mungu pekee.Kufuata sheria ndio haki yenyewe, au wewe unadhani haki inashuka toka mbinguni?
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Mkuu umeambiwa relax naona umechoka, soma katiba inavyotenganisha haki na wajibu.Hao watapata Wajibu kutoka kwa wanadamu!
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Kutotamkwa neno Katiba Mpya kwangu naona siyo mbaya, wangesema Katiba Mpya sio kipaumbele chetu ingekuwa mbaya zaidi.Nimetafuta neno "KATIBA" katika yote waliyotamka watu hao, sikuliona mahala popote.
Hayo yaliyosemwa hapo ni nadharia tu, yanayoweza kusemwa na mtu yeyote na yasiwe na maana yoyote, kwa sababu hayana msingi wa kuisimamia hiyo "HAKI" inayoimbwa na watu ambao tumekwishaona wakivunja haki za watu.
Kama Mbowe na chama chake na wao watawekwa usingizini na hadaa hizi, basi za "HAKI" ya mdomoni na kuacha kuwaelimisha wananchi na kuwaongoza ipatikane "KATIBA MPYA", basi tutaendelea kuimba tu hiyo haki isiyokuwepo.
Kwenye mkutano wa CCM ulisikia mahali popote walipotamka maneno "KATIBA MPYA"?
Ni maigizo kama maigizo mengine
They don't mean what they say....
Msiwe wepesi kuamini yatokayo midomoni mwa watawala
Leo mnaamini maneno ya kinywa cha mtesi ciro 🙄
Yaani kama hadi sasa watu hawawezi kutambua aina ya viongozi tulionao na njia wanazotumia kuhadaa watu, hili ni tatizo.CCM wasikudanganye wanayoyaongea hawayatendi (zilongwa mbali zitendwa mbali) Hawa ni wanafiki wazuri kabisa
Kumbe na wewe unaliona Hilo Tz Elimu ya Uraia Kwa watu wengi hakuna, tena na Hawa vijana wa digital ambao muda wao wanaspend kuangalia na kusikiliza umbea wa wasanii na watu maarufu mambo miaka ijayo yatakuwa ya hovyo kabisa, Hawa viongozi ni walewale wanabadilisha staili ya kutuletea feelings too za uongozi lakini matendo yao hayaendani na maneno hata Kwa 10%Yaani kama hadi sasa watu hawawezi kutambua aina ya viongozi tulionao na njia wanazotumia kuhadaa watu, hili ni tatizo.
Tumekuwa na tofauti ya njia tu zinazotumika, lakini matokeo kwetu yanakuwa siyo tofauti sana.
Kiongozi mmoja alikuwa akipiga makelele, akitukana, akinyanyasa waziwazina hata kuumiza. Watu wameyaona hayo, waliopenda mtindo huo wa uongozi wakafurahi, na wengine tuliobaki tukasononeka.
Sasa tunao viongozi "Janja", wao wanatulaza usingizi kwa maneno matamu matamu; lakini hawadiriki kutuachia tuamue tunachotaka wenyewe. Kama tunapenda hadaa zao, tuwaruhusu waendelee kutulaghai, kama hatuzitaki, tuwaondoe. Hili hawalitaki.
Kwa hiyo, aina zote mbili za uongozi huu, hauwezi kutupatia matokeo tofauti sana.
EeeenHeee! Samahani kwa kucheka kidogo mkuu wangu Quinine.Kutotamkwa neno Katiba Mpya kwangu naona siyo mbaya, wangesema Katiba Mpya sio kipaumbele chetu ingekuwa mbaya zaidi.
Mkuu 'Tindo',Kabisa hizo ni lugha za ghiliba kwani wanajua wana taswira hasi kwenye jamii. Hivyo wanajua wakitamka neno haki watapata kinga kwa umma. Ukweli ni kuwa hawataweza kutekeleza haki maana muda hauko upande wao.
Ni kweli kabisa ila maneno kutoka kinywan kwa mheshimiwa Mbowe yanamaanisha akisemachoNi maigizo kama maigizo mengine
They don't mean what they say....
Msiwe wepesi kuamini yatokayo midomoni mwa watawala
Leo mnaamini maneno ya kinywa cha mtesi ciro [emoji849]
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Ukatili wa sakata la fao la kujitoa tumeshajua sababu.Ni kama FAO LA KUJITOWA NSSF
Hii Tangañyika kuna mijitu INA ROHO MBAYA ZAIDI YA SHETANI
Unaonaje?Unataka katiba mpya?
Nchi hii kila mtu ana MATATIZO yake. Bahati mbaya wewe matatizo yako Hakuna atakayekumalia yakasikika.Ni kama FAO LA KUJITOWA NSSF
Hii Tangañyika kuna mijitu INA ROHO MBAYA ZAIDI YA SHETANI
Ndio inatoa haki kwa kutafsiri hizo sheria, kwani aliyeivunja sheria amemnyima mwenzie haki yake, kama haki ingekuwa inatoka kwa Mungu pekee, basi Biblia na Quran ndio vingekuwa Katiba zetu.Mahakama haitoi Haki bali inatafsiri sheria.
“Kitu kikubwa tulichojadiliana ni kuwa, Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kufanya kazi pamoja, kuijenga, lakini hili linawezekana tu iwapo tutajenga uaminifu na kudai HAKI, pamoja na kuheshimiana”. Rais Samia Suluhu.
“Tumekubaliana kuwa, njia nzuri ya kuwa na maridhiano ni wakati kuna HAKI. Tumepitia madhila mengi, hakuna haja ya kuyarudisha mara kwa mara, badala yake tunapaswa kusonga mbele na kuwa na siasa safi na kuiunga mkono serikali”.- Freeman Mbowe.
“Mimi ndio mkuu wa jeshi la polisi leo nyie ni polisi kesho sio polisi lazima muwaheshimu watu na mtende HAKI kuna makosa mengine ya trafiki mweleweshe mtanzania mwenzako sio lazima kila kosa umuweke mahabusu”. - IGP Sirro.
“Kila mtu awe na HAKI ya kuchagua na kuchaguliwa na HAKI ya kutoa mawazo. Lazima wanachama wawe huru kutoa mawazo na hakuna mwenye hati miliki ya mawazo. Tukiweza kuimarisha HAKI ndani ya CCM tutakuwa tumeimarisha hadi nje kwenye maeneo mengine " Makamu Mwenyekiti mpya wa CCM (Bara), Abdulrahman Kinana.
Kama duniani hakuna haki wale wanaoenda mahakamani huenda kutafuta nini? usiniambie tena wajibu!.Haki ni ya Mungu pekee.
Binadamu tunatawalana kwa kuwekeana sheria zetu wenyewe siyo za Mungu!