haya malink ya fb mimi siyafunguagi boss andika nitasoma nikujibu lakin ma .com/share/urlatmkolokolo mim simo
Sidhani kama ni sahihi. Sema uzee ndo umemsonga,betri iko downSelasini bado ni pandikizi ama hana misimamo thabiti.. Ni rahisi sana kununulika
Wasaliti wasirudi.Msimamo wangu unafahamika
J.Selasini anakwenda kutwaa na kushika kimkakati hatamu za uongozi wa Chadema taifa katika muda usiokua mrefu ujao πKama mnavyofuatilia siasa za nchi yetu hivi sasa, kuna wimbi kubwa la wanachama waliokihama chama na kukipigia kelele nyingi za kashfa wakiondoka, lakini sasa hivi wanarudi CHADEMA kwa kasi ya ajabu.
kwa kila Mtanzania mwenye nia njema na ya kweli ya kuikomboa nchi, lakini ni moto mkali utakaomteketeza kila anayetaka kukichezea na kukitumia chama hiki kama kitega uchumi chake binafsi.View attachment 3593924
Hahahaha. Siasa ni hatari sana
Picha inaujumbe mkubwa sana kwa mtu timamu
Kaka shetani ukitaka vyake lzm akudhalilishe kwanza hiyo ndo kanuniIla hapa walimuweza sanaπ