Pre GE2025 Neno langu la mwisho kwa Mbunge mkalia kuti kavu CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na tunaotakiwa kubaini ni sisi wananchi na sio watuhumiwa au rafiki zake watuhumiwa , ngoja kwanza tupitie ushaidi tulinganishe na hali halisi majibu yatapatikana tu.
 
Yeye anasema uongo, ukweli wako uko wapi? Panga hoja zake kwa kuleta hoja kinzani, ulichoandika hapa ni upuuzi na upumbavu kwa mtu mwenye uchungu na nchi yake.
una uchungu sana ee gentleman ?πŸ’

naona unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi 🀣

nipange hoja za nani? au unazungumzia uongo na uzushi wa mlamba sukari ya makampuni ya sukari?🀣
 
Sasa kama hutaki mbunge akae kimya mbona una support censorship ya chama kwa mbunge?
 
Vita havina macho ,ndugu mheshimiwa.
vinahitaji utulivu mkubwa sana, nidhamu nidhamu ya kiwango cha juu mno lakini malengo, mipango na mikakati ya wazi otherwise mtu atafeli mwanzoni sana mwa vita πŸ’.

my friend,
ni kujipanga tu πŸ’
 
una uchungu sana ee gentleman ?πŸ’

naona unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi 🀣

nipange hoja za nani? au unazungumzia uongo na uzushi wa mlamba sukari ya makampuni ya sukari?🀣
Elezea uongo kwenye hoja zake na toa uthibitisho wa kile alichosema kuwa uongo. Kuambiwa ulichoambiwa ni upuuzi na upumbavu sio matusi, nenda kasome lugha yako ya kiswahili utajua hayo maneno yanamaanisha nini.

Watu wa ccm mmezoea kuliibia taifa miaka mingi, hamjali wananchi walipa kodi hata kidogo, mkiguswa kidogo tu mnaanza kushambulia mtu personally. Attack hoja zake, achana na personality yake, ukiendelea kujibizana sana unaufichua upumbavu uliokujaa coz huna content.
 
Sasa kama hutaki mbunge akae kimya mbona una support censorship ya chama kwa mbunge?
I'm not sure kama umeelewa hoja yangu ya msingi, unless una jambo jengine unapendelea nilisemee,

kama ni hivyo bas eleza vizur ni kufafanulie uelewa na kupata uelewa mpya πŸ’
 
Unamshauri Mpina azingatie kufanya kazi kama timu moja ya CCM!! Kwa hiyo wizi wa Bashe ni wa CCM nzima? Naona unamshauri na kumpe ujumbe Mpina kuwa CCM ni ya watu majizi, na ukiwemo humo ushikamane bila kwenda kinyume na taratibu za wevi.

Mshauri mwenyekiti awatamgazie watu wote kuwa CCM ni chama kwaajili ya wevi, ili wasio wevi na wanaochukia wizi, waondoke haraka. Mbakie ninyi majizi mkifuata taratibu zenu zilizo kinyume na katiba ya nchi.

Ni vema ungemalizia kwa kusema, Shetani yabariki majizi ya CCM.
 
vinahitaji utulivu mkubwa sana, nidhamu nidhamu ya kiwango cha juu mno lakini malengo, mipango na mikakati ya wazi otherwise mtu atafeli mwanzoni sana mwa vita πŸ’.

my friend,
ni kujipanga tu πŸ’
Wewe upo upande wa adui then unatoa ushauri wa jinsi gan mpinzani akudondoshe😁😁😁 kweli mnatuona mazuzu mno .
 
uongo na uzushi ni wake mimi tena nibabaike na huo uzushi ili pia niwe muongoπŸ’

hata hivyo sijasema umetusi mahali ispokua unaelekea huko coz is where you belong πŸ’

suala hilo la eti sijui CCM wamezoea nini na nini, I think is the story for other day, kwa maoni yangu πŸ’
 
Thibitisha ule ushahidi ni wa uwongo.
 
Hadi hapa umeshindwa kuthibitisha uongo wake, yaani gazeti lake lote hili hakuna hata sehemu umethibitsha huyo jamaa kudanganya wapi, zaidi sana unatetea na kutishia yeye kufukuzwa chamani. Watu wanaojiamini hawaogopi kufukuzwa, walamba asali huwa ndio wanaogopa.
 
no,
namshauri huko kwenu chadema anakokuja, kwamba afanye uchunguzi kwa makini sana aingie timu vibaraka iliyojikita kanda ya kati au timu ya wazalendo ya mwamba wa kaskazini πŸ’
 
aah sasa nakuelewa,
kwahiyo walamba sukari wa makampuni ya sukari kwa kukomaa kusema uongo kua ukweli hawaogopi kufukuzwa sio, right?🀣

walamba asali ndio wanaoga πŸ’
 
aah sasa nakuelewa,
kwahiyo walamba sukari wa makampuni ya sukari kwa kukomaa kusema uongo kua ukweli hawaogopi kufukuzwa sio, right?🀣

walamba asali ndio wanaoga πŸ’
Hujaelewa mkuu,
Thibitisha uongo wake. Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Umenikumbusha ya steven masele mbunge..na job ndugai
 
no,
namshauri huko kwenu chadema anakokuja, kwamba afanye uchunguzi kwa makini sana aingie timu vibaraka iliyojikita kanda ya kati au timu ya wazalendo ya mwamba wa kaskazini πŸ’
Ccm akikuambia toka nnje kumekucha usimwamini kamwe apo timu vibaraka ni hao wa kaskazini, hao wa kanda ya kati ndio wazalendo wa kweli , asante sana kwa kunifumbua macho mkuuπŸ™πŸ™πŸ™
 
sorry ladies and gentlemen,
muda umekwenda mno na bado nipo kwa ofisi,

let me take a cup of coffee nipate nguvu ya kufika home vizuri,
I will be right back as soon as possible kujibu hoja zenu πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…