Neno 'Samaki' lipo kwenye ngeli gani?

Neno 'Samaki' lipo kwenye ngeli gani?

Ha haa hapa ungetoa na mfano kidogo tuelewe
Kwanza inabidi ukumbuke kuwa Tungo vishazi zipo za aina mbili.
1 Kishazi huru na 2 Kishazi tegemezi. Sasa mfano wa kishazi ni:
1. Mtoto anayecheza mpira
Hiyo anayecheza ni kishazi kwasababu hiyo tungo imetawaliwa na kitenzi.
 
'Kiima na Kiarifu' hebu anayejua atukumbushe hapa
 
'Fonimu na mofimu' hivi vitu nimeshasahau tukumbushane
 
Sintaksia maana yake nini mkuu
Katika taaluma inayochunguza lugha(isimu),Lugha hugawanywa katika nyanja kuu nne;

1.Sintaksia
2.Mofolojia
3.Fonolojia
4.Semantiki

Kwahio sintaksia ni taaluma inayochunguza muundo wa sentensi na kanuni zinazotawala muundo huo.
 
Katika taaluma inayochunguza lugha(isimu),Lugha hugawanywa katika nyanja kuu nne;

1.Sintaksia
2.Mofolojia
3.Fonolojia
4.Semantiki

Kwahio sintaksia ni taaluma inayochunguza muundo wa sentensi na kanuni zinazotawala muundo huo.
Umenikumbushaa mbali asante mkuu
 
samaki yupo ngeli ya kwanza kabisa
Yu-a-wa

samaki a-mekufa
samaki wa-mekufa
 
kiima-ni sehemu katika sentensi inayokaliwa na mtenda/nomino

kiarifu ni sehemu katika sentensi inayo arifu/toa taarifa juu ya kiima /mtenda/nomino
Toa mfano mmoja wa tungo yenye kuonesha kiima na kiarifu
 
Back
Top Bottom