Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza inabidi ukumbuke kuwa Tungo vishazi zipo za aina mbili.Ha haa hapa ungetoa na mfano kidogo tuelewe
Tumemaliza,hebu tuambie kuhusu "Ujumi mweusi"Mkimaliza kukumbushana virai na vishazi, mnitag niwafundishe "Ujumi mweusi"
[emoji2212]
Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda kuujua huo "Ujumi mweusi" [emoji15][emoji15][emoji15]Mkimaliza kukumbushana virai na vishazi, mnitag niwafundishe "Ujumi mweusi"
[emoji2212]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sintaksia maana yake nini mkuuKina ugumu wake,hasa kujua sintaksia na mofolojia ya kiswahili
Katika taaluma inayochunguza lugha(isimu),Lugha hugawanywa katika nyanja kuu nne;Sintaksia maana yake nini mkuu
Umenikumbushaa mbali asante mkuuKatika taaluma inayochunguza lugha(isimu),Lugha hugawanywa katika nyanja kuu nne;
1.Sintaksia
2.Mofolojia
3.Fonolojia
4.Semantiki
Kwahio sintaksia ni taaluma inayochunguza muundo wa sentensi na kanuni zinazotawala muundo huo.
Kwema mkuu...Chief habari!
Yaan kura tuibiwe na utuletee sijui UJUMI MWEUSi Kaka utatuua aseeeh!!!Mkimaliza kukumbushana virai na vishazi, mnitag niwafundishe "Ujumi mweusi"
[emoji2212]
Sent using Jamii Forums mobile app
kiima-ni sehemu katika sentensi inayokaliwa na mtenda/nomino'Kiima na Kiarifu' hebu anayejua atukumbushe hapa
Toa mfano mmoja wa tungo yenye kuonesha kiima na kiarifukiima-ni sehemu katika sentensi inayokaliwa na mtenda/nomino
kiarifu ni sehemu katika sentensi inayo arifu/toa taarifa juu ya kiima /mtenda/nomino
Chief, usichanganye kuna ngeli mbili unachanganyasamaki yupo ngeli ya kwanza kabisa
Yu-a-wa
samaki a-mekufa
samaki wa-mekufa