Netanyahu aikumbusha Dunia kuwa Israel ya leo, ndio ile ile ya Ibrahim, Isaka,Yakobo, Yeremia, Isaya, Daudi

Tatizo la Abraham, hakuacha utaratibu wa urithi wa mtoto wa mchepuko wake wa Ki-Misri, ambaye ni Ishmael (Baba wa Waarabu)
Acha kujitoa ufahamu aliye mpa Ibrahim hajiri ni mkewe mwenyewe.
 
Umeandika mengi,hongera sana.Inaonekana vitabu unavyosoma wewe no to faut I ma biblia,biblia inamtaja Hajira kama mfanyakazi wa ndani was Sara make was Ibrahim. Ibrahim hakumuoa mama yake Ishmael.Hivyo mzee IBRA alimchaoa nao beki tatu.Msipotoshe
 
Huo ndiyo ujinga wa kizungu kuwaita waarabu waislam, uyahudi ni Imani siyo taifa,Kuna wayahudi wengi Ethiopia

Wayahudi siô wôte Wayahudi kidini wàpo Wayahudi Waislam.
Israel baadaye nickname yake iligeuzwa na kuwa Myahudi wakichukua jina la Wayuda
 
Wayahudi siô wôte Wayahudi kidini wàpo Wayahudi Waislam.
Israel baadaye nickname yake iligeuzwa na kuwa Myahudi wakichukua jina la Wayuda
Hadi QUR'AN,iliyoandikwa Karne ya 6 imesema Kuna wayahudi na waisraeli,hakuna myahudi muislam Bali Kuna waisrael waislam
 
I smell ignorance all over the place, it's freaking disgusting.
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
Mdada upo vizuri...chagua zawadi.
 
Wanaoamini ktk kristo wakilitaja jina lake kwa imani majini (yale mnayosema ndugu zenu) huwa yanaungua moto, ila jina la mohamed wala majini hayaliogopi. Siku ukielewa hilo jambo utajua kwa nini mnadanganywa
😂😂😂😂😂ko wewe ukiona vile wachungaji wa mchongo wanaombea mtu wanamshika kichwa af anaanguka ndo unaamini jina la kristo linamuunguza jini🤣🤣 mtaendelea kuwatajirisha hadi akili ziwakae sawa
 
Mashetani hsya mnayoswali nayo misikitini na kuyafuga majumbani mwenu tena yanakaa vichwani mwenu mkiyapandisha baada ya kusoma vifungu fulani vya quran? 🤣
 
Alafuuuuu hii sio vita ya kidini jamani. Haya ni mauaji ya kimbari (Genocide) wanaouliwa na wanaoumia ni raia wa kawaida; wanawake, wanaume, wazee na watoto wadogo. Waisrael wenyewe wanaondoka nchini kwao kwasab hakuna amani na huku Palestine watu wanalipuliwa kila kukicha.
WANAOATHIRIKA NI RAIA SIO WANAJESHI

Kwahiyo acheni ushabiki maandazi
mngejua hao mayahudi wanavouchukia ukristo wala msingewashobokea.
wengi wenu mnatetea Israel kwasab mnahisi ni wenzenu ila ukweli ni kwamba wao hawawatambui wala hawawapendi. Mtu yoyote mwenye utu na mwenye akili timilifu hawez kushabikia haya mauaji wala kuleta udini mnaouleta hapa hakuna dini inayosupport mauaji ya viumbe wasokuwa na hatia unless hio dini ni ya kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…