God Bless IsraelUjinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Hadi leo wasio na weledi wanajua kuwa hali mbaya ya hewa ndiyo ilisababisha ajili ya helikopta ya raisi wa Iran.Hakuna shambulio la dharau na la kumuonyesha Iran tuko chumban kwako kama lile la kuuwawa Haniye. Ilimuonyesha jamaa walivyo ndani yao
Rais wa Poland 2010 alianguka na ndege Smolensk Russia akiwa na mkewe na wengine 94 wakafariki.Hadi leo wasio na weledi wanajua kuwa hali mbaya ya hewa ndiyo ilisababisha ajili ya helikopta ya raisi wa Iran.
Maalim mbina jamaa hajakutukana?Punguza mastrees ustaadhUjinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Endeleeni kumjaza kichwa huyo Iran zamu yake ikifika msijifiche.Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Kuna dharau inayopita ya adui yako kusema ana kushambulia na akashambulia usalama wa taifa lako ?Hakuna shambulio la dharau na la kumuonyesha Iran tuko chumban kwako kama lile la kuuwawa Haniye. Ilimuonyesha jamaa walivyo ndani yao
Nani katukanwa ?Maalim mbina jamaa hajakutukana?Punguza mastrees ustaadh
Unao ushahidi wa Rais wa Iran kuuliwa na Israel ? Idiot nenda jukwaa la mapishiUmesahau kuwa jibu la Israel kwa Iran lilikuwa baya sana kwa kumwua raisi wa Iran. Au hadi leo unajua hali mbaya ya hewa.
Wewe mpumbavu una fananisha Hezbollah kijikundi na taifa la Iran wajinga wamejaa humuEndeleeni kumjaza kichwa huyo Iran zamu yake ikifika msijifiche.
Hata Hizbulla mlisema hivi hivi, sahivi moto unatembea sio mchezo
Kurusha kombora hilo mbona kawaida. Wangekuwa wanaume wangerusha makombora bila kuongea. We unarusha kombora kwa adui halafu unawataarifu maadui zako sasa hayo si maigizo. Ndio maana yalitunguliwa. Nachosema kama mtu anaweza kuua mtu chumban kwako una uhakika gan wa system yako ya usalama sasa. Inatofauti gan na zile pages za hezbollah zilizoingiliwa.Kuna dharau inayopita ya adui yako kusema ana kushambulia na akashambulia usalama wa taifa lako ?
Unazungumzia nini viripuzi vya wiziwizi vya kutega ndio shambulizi tumia kichwa chako vizuri basi
Ndio nakutaarifu nakuchukulia mke wako na na nina mchukua huku ukijua hakuna dharau kubwa kuliko hii na yeye Israel aseme naitumia makombora Iran kama anavyo fanya Gaza ama Lebanon na afanye kama anawezaKurusha kombora hilo mbona kawaida. Wangekuwa wanaume wangerusha makombora bila kuongea. We unarusha kombora kwa adui halafu unawataarifu maadui zako sasa hayo si maigizo. Ndio maana yalitunguliwa. Nachosema kama mtu anaweza kuua mtu chumban kwako una uhakika gan wa system yako ya usalama sasa. Inatofauti gan na zile pages za hezbollah zilizoingiliwa.
Dogo tulia na uone hao wagaidi wa Hezbollah wanavofanyiwa operesheni ya tezi dume. Kama italazimu hata huyo kaka yao atafuata tu. Kwenye foleni mmja mmja ndio mpango.Wewe mpumbavu una fananisha Hezbollah kijikundi na taifa la Iran wajinga wamejaa humu
Vijana wa sasa utawaweza?Rais wa Poland 2010 alianguka ndege Smolensk Russia akiwa na mkewe na wengine 94 wakafariki.
Ajali zinatokea na hakuna uthibitisho Israel ilihusika na hio ajali.
Pia mbona hujiuliza kwanini Iran asiendelee kurusha hayo makombora moja kwa moja ili aifute Israel? Au kuna mahali imeandikwa ni lazima ajibu ili vita ianze?Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Kama hawezi kujibu shambulizi la Iran lililo hatarisha usalama wa taifa lake na kumuweka uchi akaae kimya middle east ni kubwa sio Tel aviv au Gaza aendelee na vi mission vya wiziwiziPia mbona hujiuliza kwanini Iran asiendelee kurusha hayo makombora moja kwa moja ili aifute Israel? Au kuna mahali imeandikwa ni lazima ajibu ili vita ianze?
Maana Israel huwa anatungua makamanda hapo Iran karibu kila anapojisikia na hujiulizi kwanini Iran haanzishi vita. Mtu anaua kamanda wako ndani ya ardhi yako, hilo sio Tangazo la vita?
Anyway IRAN imejijenga sana na haiwezi kuingia kwenye vita kamili wakati huu, itaendelea kuwaingiza mkenge wakina Hamas na Hezbollah hadi akili ziwakae vizuri.
Rais aliyeamuru mashambulizi kwenda Israel yuko wapi?Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.
Israel safari hii amepwaya, hafanyi mashambulizi kama alivyofanya 2006.. 2006 hakuna mahala Israel hakupiga, alipiga hadi shule, barabara urefu km 640 waliharibu , piga HQ za Hezbollah na nyumba zao za viongozi... Tv station ya Hezbollah, madaraja, vituo vya fuel n.kEndeleeni kumjaza kichwa huyo Iran zamu yake ikifika msijifiche.
Hata Hizbulla mlisema hivi hivi, sahivi moto unatembea sio mchezo
Wakiristo wa jf thread zao zinachekesha sana utadhani wamemaliza std 7Anasema hakuna sehemu Iran na middle east yote ambapo mkono wa jeshi la Israel hauwezi kufika.
My take
Kuna haja ya Iran na wadau wake waweke tofauti zao na Israel pembeni. Maana Israel kwa sasa anaweza hata kuua nusu ya raia wa middle east na watu wote wakabaki wanamchekea. Hakuna mtu wa kumchukulia hatua wala kumzuia chochote qtakachoamua kufanya kwa yoyote duniani.