Pia mbona hujiuliza kwanini Iran asiendelee kurusha hayo makombora moja kwa moja ili aifute Israel? Au kuna mahali imeandikwa ni lazima ajibu ili vita ianze?
Maana Israel huwa anatungua makamanda hapo Iran karibu kila anapojisikia na hujiulizi kwanini Iran haanzishi vita. Mtu anaua kamanda wako ndani ya ardhi yako, hilo sio Tangazo la vita?
Anyway IRAN imejijenga sana na haiwezi kuingia kwenye vita kamili wakati huu, itaendelea kuwaingiza mkenge wakina Hamas na Hezbollah hadi akili ziwakae vizuri.