Ujinga umekujaa huyo Israel hajafika hata nusu ya Ujerumani.
Kijitaifa kinachoishi ndani ya ngao ya ulimwengu wa magharibi hakina uwezo wa kutisha mashariki ya kati yote.
Iran iliporusha makombora Israel na yalifika [ hivi unajua hicho kitendo ni kuhararisha vita ya moja kwa moja ] kwa nini Israel hakuivamia Iran kivita kama yeye anaweza kuua mashariki ya kati yote ?
Una kichwa kitumie kufikiri sio kujaza ujinga.