BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Ni kweli Iran🇮🇷 ilirusha makombora lakini je yalifanikiwa kufika yote Israeli? hayakudhibitiwa na Mifumo ya kudhibiti makombora?Netanyahu ni mwendawazimu hiyo my take yako ya kipuuzi Iran ilishaonesha hana anacho hofia na ndio maana ilirusha makombora katika nchi yake huyo Netanyahu kama yeye anajiamini na yeye angerusha makombora au kupeleka tu ndenge twake kumvamia mwenzake simple like that aache vitisho vya kitoto vya kijinga.