Una F ya Bilogy, tena kidato cha pili.Tehran kazini!😆
Sasa wewe mwenye A+ tuambie ilikuwaje hata PM akala mafiUna F ya Bilogy, tena kidato cha pili.
Sema tu kuwa maana yake ni kula maviOnyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
I hope they keep Hell hot for this ba s. TA rdInaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
View attachment 3412250
Hadi hawa wakubwa wanakulaga vyakula hivyo?Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa maji mwilini (dehydration).
Ameanza kupatiwa matone ya maji moja-for-one (IV fluids) na atapumzika nyumbani kwa siku tatu huku akiendelea kusimamia masuala ya serikali kutoka mbali
View attachment 3412250
Food poisoning is just medical term in layman vibesKuna eating a food containing poison
Na kuna to be poisoned.
Sisi tumeshakula vyenye sumu sana ila kula kilivho wekwa sumu ili kikumalize bado.
"Afrotoxins" ndio kitu gani ndugu msomi.Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Yeah sasa naona watu hapo juu wanafikiri kawekewa sumu kwenye chakulaFood poisoning is just medical term in layman vibes
just a mild bowel discomfort
yan anaharaa tu ndo mana ameishiwa maji
inaweza sababishwa na chakula kuchacha kwa bacteria anaitwa botulinum kama sjasahau
Ni kitu kawaida sana
inshort PM kapoteza kizibo
VINGNE HUWEZI KUAMBIWA NA OFISI YA WAZIRI MPK MAJASUSI TUKWAMBIE,WEWE ULIWAHI KUJUA ILE VITA YA SIKU 12 IRAN ILICHAKAZA KAMBI 5 NDANI YA ISRAELI!Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Kwani nani kasema sio jambo la kawaida?Food poisoning mbona ni jambo la kawaida sana hasa kwa nchi zinazoendelea?
Naona umeumia sana kuliko hata Mke wa Natanyahu,Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".
Namna mlivyo wahi kujitetea sasa kama una udugu na Bibi.Onyo kwa wafuasi wa Ustadhi Kitinku, food poisoning haimaanishi amekula chakula kilichotiwa sumu. Bali chakula chenye sumu kama afrotoxins, tunakulaga sana hivi vyakula kutoka sokoni na supermakets na sana sana tunajisikia vibaya tu, tukiumwa hospitali zetu za kawaida zinasingizia "mchafuko wa damu".