Netanyahu amekula chakula chenye sumu , kupumzika kwa siku tatu, ofisi yake yasema

Status
Not open for further replies.
Ingekuwa hivyo (kwamba amekuwa poisoned ili afe), Israel wala wasingeitangaza hii na β€œkuwapaisha” Tehran

Food poisoning watu wanaipata sana tu hata huku Bongo na wengine huharisha, kutapika etc
We acha tu. Ni KARMA hiyo. Amini nakwambia, naye mwisho wake utakuwa mbaya sana. Utasikia hivyo hivyo "mara Food Poisoning" Mara naniii" Lakini yote yanapelekea kudhorota kwa Afya ya binaadam.

Trump alisema, anazawadi nzuri kwa GAZA. Alamsik!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…