Kama unazungumzia stinger ya Afghanistan basi siku zile ilikua tech mpya na Bora ukilinganisha na vifaru vya USSR.. NATO na USA wanahangaika huko Ukraine,kidume kinapambana na makuwadi wa ushoga na panachimbika,maisha magumu ulaya kiasi wanakula vyakula vya paka na mbwa na maandamano yasoisha,kule Syria aliwafurusha,hizo ndiyo dalili za supa pawaHuyu Supa-pawa wa mchongo aliyekimbizwa na stinger ana jipya gani ?
Alipewa dozi na modogo wa ki Lebanon ndo ukawa mwisho wa ubabe wakeIsrael ilishawahi pigana na Misri, Syria, Jordan, Lebanon na Iraq. Kati yao nani alimshinda Israel?
Egypt na Syria zilipoungana kupigana na Israel kwenye Yon Kippur war nani alishinda?
Kwenye Six Days war walipoungana Waarabu nchi tano dhidi ya Israel nani alishinda?
Hiyo hiyo vita USSR, Morroco, Saudi Arabia, North Korea na nyinginezo zilitoa misaada kwa Israel. Kwanini uone msaada wa Marekani tu.Hiyo vita USA na Uingereza walitoa misaada ya silaha, na upelelezi. Usiwe brain washed boss.
Israel amewashindwa Hezibollah ataiweza Russia?
Israel yuko advanced sana, kama Ukraine anaisumbua Russia pamoja na silaha zote kutumika ndo sembuse wataalamu wa Israel?Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
F14 anazo IranZa marekani,f14,16 za marekani, Israel ana bunduki zake za urban warfare,hazihitajiki Ukraine,usifikiri wapalestina ni jeshi serious..watu tu na bunduki mitaani basi,Tena bunduki zimeingzwa kimagendo
Uislamu unakusumbuaVichwa gani toka Israel wewe acha ujinga!!
Hezbollah ni chama chenye military wing kile, sio serikali. Kama ingekuwa ni vita ya Israel vs Lebanon nchi kwa nchi Lebanon ingepigwa vibaya. Ndio maana baada ya vita serikali ya Lebanon ikafanya deployment ya majeshi yenyewe ili kuzuia utata wa Hezbollah. Wanachokoza kisha nchi inaumia sababu yaoAlipewa dozi na modogo wa ki Lebanon ndo ukawa mwisho wa ubabe wake
Sasa ndio Israel washasema wanafikiria hilo ila wewe hutaki unadai hawawezi. Na nani kakwambia Israel inaiogopa Russia, mbona inafanya mashambulizi Syria na Russia yupo hapohapo, uliwahi sikia Russia amejibu mashambulizi. Kwa mantiki hiyo kwanini usiseme Russia ndio inaogopa Israel.Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
Ni za marekani na zontungilika vizuri tu,Syria walitungua,mhuni slobodan alizipopoa vizuri tuF14 anazo Iran
Israel ana F15E, F16, F35
Kuna ndege ambayo imefanya combat bila kutunguliwa, tukitoa F22,35?Ni za marekani na zontungilika vizuri tu,Syria walitungua,mhuni slobodan alizipopoa vizuri tu
F-16 imeuzwa nchi zaidi ya 25, imepiga ndege 71 na haijawahi pigwa hata mara moja. Na ziko ndege hizo zaidi ya 2000.Kuna ndege ambayo imefanya combat bila kutunguliwa, tukitoa F22,35?
Ingia YouTube kwenye top 5 ya makomando bora duniani wapo wana balaa zito Israel ilipewa dozi MPAKA ikaamua kupoga makazi ya watu hivyo ili jamii ya kimataifa iingilie mwishowe Israel ikasalimu amri yenyeweHezbollah ni chama chenye military wing kile, sio serikali. Kama ingekuwa ni vita ya Israel vs Lebanon nchi kwa nchi Lebanon ingepigwa vibaya. Ndio maana baada ya vita serikali ya Lebanon ikafanya deployment ya majeshi yenyewe ili kuzuia utata wa Hezbollah. Wanachokoza kisha nchi inaumia sababu yao
Ndugu yangu huna akili itoshe tu kusema ivyo na kama unazo basi ubongo wako haufanyi kazi mzeeIngia YouTube kwenye top 5 ya makomando bora duniani wapo wana balaa zito Israel ilipewa dozi MPAKA ikaamua kupoga makazi ya watu hivyo ili jamii ya kimataifa iingilie mwishowe Israel ikasalimu amri yenyewe
Israel hawezi kufanya hivyo.... Russia anaweza kumjibu haraka sana kwa kumpatia siraha Iran ambao ni wapinzani wakubwa wa israel.. na ndo maana wapo kimya wanahofia hilo..
Ubora wa makomandoo tuutazame YouTube? Mzee jeshi unaliona kama kina Harmonize na Babu Tale au nini.Ingia YouTube kwenye top 5 ya makomando bora duniani wapo wana balaa zito Israel ilipewa dozi MPAKA ikaamua kupoga makazi ya watu hivyo ili jamii ya kimataifa iingilie mwishowe Israel ikasalimu amri yenyewe
Mimi siyo muisiharamu yaheeeKumbe we naye mvaa pedo
Mimi naujua ukristo wa kweli na ninacho sema ni kwamba huu wa sasa uliopo duniani siyo ukristo ni uhuni tu. Na nina zijua dini zote vizuri sana.Kumbe we naye mvaa pedo
Pigo zako zote ni za kichoko tu acha kujitutumua,unaonekana wazi kabisa,hata comment zako zina ashiria hilo.Mimi basha yaheee nitakulisha roja sasa hivi