Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Simba anaishia kujificha kwenye mashimo simba kashindwa angausha Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan hahaha we tulizana uone simba wenu anavyo tolewa roho safari hiMbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.
Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.
Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.
Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni
View attachment 3636243
Yes, hakujua Israel na US ndio wamiliki wa hiyo mahakama. Na sasa US imeapa kuifuta kabisa hiyo mahakama kisa tu Netanyahu alifunguliwa mashtaka.Naona members wa ICC wamesha vote kumuondoa Khan.
Hana lolote bunge limeshavunjwa na chama chake hakiwezi shinda tena oktoba so ni mateke ya mwisho ila ndio bye bye.Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu
Jikite kwenye madaNaona members wa ICC wamesha vote kumuondoa Khan.
Netanyahu anajificha? Sheikh umechanganyikiwa? Netanyahu Hadi Lebanon anaenda kila sehemu anazurua na hiyo jumanne atakua marekani. Unafikiri huyo ni yule anayeogopa Hadi kivuli, kashindwa hadi kumzika baba yakeš¤£š¤£Simba anaishia kujificha kwenye mashimo simba kashindwa angausha Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan hahaha we tulizana uone simba wenu anavyo tolewa roho safari hi
Vita dhidi ya Iran ambayo iko tayari kushambulia hadi raia wasio na silaha haitakiwi ifanywe na marekani, inatakiwa umwachie Netanyahu ambaye ukiwa kichaa anakua kichaa kuliko weweMbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.
Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.
Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.
Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni
View attachment 3636243
Ile ilienda vizuri kabisa netanyahu aliuawakuu wa majeshi na majenerali zaidi ya 30 na wanasayansi pia, akamuweka kiporo khameneiš¤£Vipi ilye 12 days "Uprising Lion operation" iliishaje?
Waisrael wanamuita Binyaminiš¤£š¤£The King,Peacemaker Himself Nyauuuuu
Sio move, Israel huwa ni watu wa show show.Duh
Yaan jamaa unavyoelezea utazan move
Msaada Gani? Anaenda marekani kwenye mazishi ya Lindsey graham, hivyo atapita kumsalimia rafiki yake Trump watajadili mawili matatu. Akitoka huko jiandaeni na operation endgame, msiseme hamjaambiwaš¤£Hana lolote bunge limeshavunjwa na chama chake hakiwezi shinda tena oktoba so ni mateke ya mwisho ila ndio bye bye.
Kama ni mwanaume aje mwenyewe kwanini mpaka akaombe msaada kwa Trump? Umewahi ona Iran anaenda kulia lia kwa Putin au Xi waje kumsaidia vitani??
Yaani ni sawa na mdangaji aende kutafuta pesa kwa mibaba huko bar alafu akikuletea ule then umsifie kuwa ni tajiri!!!
Aje mwenyewe asilie lie kwa mabwana zake. Netanyahu mwisho wake umefika, we unamsifia hapa wakati wananchi wameapa kumng'oa oktoba. So anaenda kuaga rasmiMsaada Gani? Anaenda marekani kwenye mazishi ya Lindsey graham, hivyo atapita kumsalimia rafiki yake Trump watajadili mawili matatu. Akitoka huko jiandaeni na operation endgame, msiseme hamjaambiwaš¤£
Amesema kabosa kuwa safari hii Israel haitashirikiana na marekani, maana marekani Wana tabia ya kuwazuia wasishambulie baadhi ya sehemu, waliwazuia pia wasiue viongozi Fulani. Netanyahu safari kasrma hilo halitakuwepo ni wao watavyoamuaš¤£š¤£Vita dhidi ya Iran ambayo iko tayari kushambulia hadi raia wasio na silaha haitakiwi ifanywe na marekani, inatakiwa umwachie Netanyahu ambaye ukiwa kichaa anakua kichaa kuliko wewe
King na huku hana simple majority ya kurudi madarakani? You're delusional. Na hajawahi kuwa peacemaker ndio maana US imesema Netanyahu alikua anahujumu mazungumzo yao na Iran ili vita zisiishe.The King,Peacemaker Himself Nyauuuuu
Toka lini akalia? Marekani ndio wamekua wakimzjia asifanye baadhi ya operation zakeAje mwenyewe asilie lie kwa mabwana zake. Netanyahu mwisho wake umefika, we unamsifia hapa wakati wananchi wameapa kumng'oa oktoba. So anaenda kuaga rasmi
Hana lolote, mbona alichimbwa biti na uturuki kuwa wasivamie Iran kutumia wakurdi na wakaufyata? Si angeenda kupigana na wanajeshi wake mwenyewe Iran kwanini atumie askari US na kurds?Amesema kabosa kuwa safari hii Israel haitashirikiana na marekani, maana marekani Wana tabia ya kuwazuia wasishambulie baadhi ya sehemu, waliwazuia pia wasiue viongozi Fulani. Netanyahu safari kasrma hilo halitakuwepo ni wao watavyoamuaš¤£š¤£