Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #21
Wananchi wa wapi hao? Mnamuogopa sana Hadi mnatamani asiwe PM? Huyo mko nae Hadi 2035, poleni sana🤣🤣King na huku hana simple majority ya kurudi madarakani? You're delusional. Na hajawahi kuwa peacemaker ndio maana US imesema Netanyahu alikua anahujumu mazungumzo yao na Iran ili vita zisiishe.
Alimzuia ndio sababu si aliomba approval maana hana miundombinu ya kuvamia Iran bila radar, satellites, refuelling tanks, jammers, na logistical support ya USA. Hata sasa hivi hana huo uwezo mpaka aombe kibali cha USA otherwise atakutana na upinzani bila msaada wa US na itakua aibu.Toka lini akalia? Marekani ndio wamekua wakimzjia asifanye baadhi ya operation zake
Trump alimzuia asimuue khamenei. Hayo mambo safari hii kasema hayatakuwepo, ndio maana inaitea operation endgame.
Huu ujinga wa Trump kumzuia haupo tena, nawapa pole in advance🤣
View attachment 3636293
Huko Iran SI ndio kila mara anaingia na kumaliza viongozi kwa kadri anavyotaka, au unazungumzia Iran gani?Hana lolote, mbona alichimbwa biti na uturuki kuwa wasivamie Iran kutumia wakurdi na wakaufyata? Si angeenda kupigana na wanajeshi wake mwenyewe Iran kwanini atumie askari US na kurds?
Huyu ni muoga sana wa Iran ndio maana hawezi kuja mwenyewe kabisa
Wananchi wa Israel wamemchoka, ila mnaomshobokea ni nyie wayahudi wa kasulu.Wananchi wa wapi hao? Mnamuogopa sana Hadi mnatamani asiwe PM? Huyo mko nae Hadi 2035, poleni sana🤣🤣
Aliingia lini bila marekani, taja mission moja tu ya huko Iran ambako Israel ilienda yenyewe?Huko Iran SI ndio kila mara anaingia na kumaliza viongozi kwa kadri anavyotaka, au unazungumzia Iran gani?
Aje na askari wa Israel kwanini mpaka alazimishe USA iwepo kwenye mission zake? Mbona Iran inapigana bila askari wa China au Russia? Mnamsifia wakati hajawahi pigana vita na nchi yoyote bila USA.Aje mwenyewe vipi? Yeye ni kiongozi anasuka mipango na kufanikisha
Sio warushe, kasema Trump mwenyewe kuwa baada ya erdogan kutishia kuingia upande wa Iran ikabidi Israel waache mpango wa kutumia waasi kuvamia Tehran. Sasa tukuamini wewe au Trump? Netanyahu alichimbwa biti ndio na hakuna kitu alifanya tena hapo Iran.Hao turkey Hilo biti kachimbaje? Hawa turkey ambao kila siku wanaishia kubweka, mbona wameshindwa kuizuia Israel isishambulie Gaza? Kama wanajiamini warushe hata kipande cha mbao tu Israel alafu waone moto wake🤣
Approval Gani? Iran wenyewe huko wanalalamika wanasema Israel inatumia majini na uchawi kuwashambulia🤣🤣Alimzuia ndio sababu si aliomba approval maana hana miundombinu ya kuvamia Iran bila radar, satellites, refuelling tanks, jammers, na logistical support ya USA. Hata sasa hivi hana huo uwezo mpaka aombe kibali cha USA otherwise atakutana na upinzani bila msaada wa US na itakua aibu.
Kwani unadhani Trump hawezi muua Putin au Xi? Au alishindwa kumuua Maduro? Sasa ukimuua unalenga nini hasa? Ndio kinabadilika nini kwa mfano?
Kama mpango ni kuondoa utawala wa kiislam je utaweza kuua viongozi zaidi ya elfu 10 wa IRGC? Nchi ina watu million 100 huwezi wabadilisha kwa kumuua Ayatollah!!
Netanyahu hana akili hata Trump alisema hilo.
Hiyo sample tu, subiri wakati wa uchaguzi utajua ukweli usiwe na haraka dogoWananchi wa Israel wamemchoka, ila mnaomshobokea ni nyie wayahudi wa kasulu.
View attachment 3636300
Jiandae na Operation Endgame
Alisema nani na lini? Leta taarifa kutoka vyombo credible sio unaokoteza viblog vya huko Tandale.Approval Gani? Iran wenyewe huko wanalalamika wanasema Israel inatumia majini na uchawi kuwashambulia🤣🤣
Wewe unassma wamarekani ndio wanawasaidia, wairan wenye huko wanasema ni majini. Kaeni chini mkubaliane kwanza
View attachment 3636302
Wanaingia Kila mara, wairan wenyewe huko wanaamini Israel knatumia majinj na uchawi. Wewe unaamini ni msaada wa marekani. Tukuamini wewe muiran wa mnagala au tuwaamini viongozi WA Iran waliopo Iran?Aliingia lini bila marekani, taja mission moja tu ya huko Iran ambako Israel ilienda yenyewe?
Aje na askari wa Israel kwanini mpaka alazimishe USA iwepo kwenye mission zake? Mbona Iran inapigana bila askari wa China au Russia? Mnamsifia wakati hajawahi pigana vita na nchi yoyote bila USA.
Sio warushe, kasema Trump mwenyewe kuwa baada ya erdogan kutishia kuingia upande wa Iran ikabidi Israel waache mpango wa kutumia waasi kuvamia Tehran. Sasa tukuamini wewe au Trump? Netanyahu alichimbwa biti ndio na hakuna kitu alifanya tena hapo Iran.
Kumbe hata hujui lolote
Hii mbona Haina uhusiano na tunachoongelea. Au ulitaka kusemaje?Iran strikes on CIA facilities prompt questions about possible Russian role
July 22, 2026
Reuters | Breaking International News & Views
Find latest news from every corner of the globe at Reuters.com, your online source for breaking international news coverage.www.reuters.com
'It would be very bad for them': Trump warns China and Russia against giving Iran weapons
President Donald Trump has warned China and Russia against giving or selling arms to Iran, saying: "If they did, it would be very bad for them".
Friday 24 July 2026
View attachment 3636303
Hii ni media ya tandale sio? Former chief wa IRGC ni media ya tandale pia? Dogo umechangangikiwa?Alisema nani na lini? Leta taarifa kutoka vyombo credible sio unaokoteza viblog vya huko Tandale.
Usikimbie swali, taja shambulizi moja tu hapo Iran ambao Israel walifanya wenyewe bila msaada wa marekani.
Huelewi chochoteVita ya Iran inaenda kufikia mwisho, kiungo akiwa ni waziri mkuu wa Iraq.
Kuna uwezekano mkubwa anaenda kupata maelekezo ya namna ya kusitisha vita; juzi tu waziri mkuu wa Iraq alikuwa Marekani na akapokelewa kwa mbwembwe, baada ya hapo akaonekana tena kule Iran, na akapokelewa kwa mbwembwe pamoja na kusaini baadhi ya mikataba (Iran vs Iraq) huku rais wa Iran akiwa na amani kwenye namfsi. Achilia mbali rais wa Lebanon, kuwa Marekani kwa ajili ya kupata maelekezo ya kupambana na Hezbollar. Pakistan kuwa tayari kupambana na Hezbollar. Serikali ya Yemen kuwa tayari kupambana na Houthi. Saudi Arabia kupewa kibali cha nuklia
Unabwabwaja tuHana lolote bunge limeshavunjwa na chama chake hakiwezi shinda tena oktoba so ni mateke ya mwisho ila ndio bye bye.
Kama ni mwanaume aje mwenyewe kwanini mpaka akaombe msaada kwa Trump? Umewahi ona Iran anaenda kulia lia kwa Putin au Xi waje kumsaidia vitani??
Yaani ni sawa na mdangaji aende kutafuta pesa kwa mibaba huko bar alafu akikuletea ule then umsifie kuwa ni tajiri!!!
Kivipi??Huoni uhusiano?? Kuna tetesi Iran anapata msaada.Au ulitaka kusemaje?
Mapigano yanaelekea kuishaHuelewi chochote
US hawezi kuifuta ICC, kelele tu za Trump hizo.Yes, hakujua Israel na US ndio wamiliki wa hiyo mahakama. Na sasa US imeapa kuifuta kabisa hiyo mahakama kisa tu Netanyahu alifunguliwa mashtaka.
Ila na wewe umekosa uelewa wa mambo mengi!!Alisema nani na lini? Leta taarifa kutoka vyombo credible sio unaokoteza viblog vya huko Tandale.
Usikimbie swali, taja shambulizi moja tu hapo Iran ambao Israel walifanya wenyewe bila msaada wa marekani.
Israel huwa wanapiga sehemu za Siri mapigo takatifuMbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.
Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.
Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.
Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni
View attachment 3636243