Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Simba anaishia kujificha kwenye mashimo simba kashindwa angausha Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan hahaha we tulizana uone simba wenu anavyo tolewa roho safari hi
Kombora haliwezi kurushwa kutoka Iran kuelekea Jordan eti ipitie kwenye anga ya Israel hiyo ramani ya masjid ni ya uongo kabisa.
 
Endgame ni nyuklia tu nje ya hapo ule msuli hauwezi
 
Anaenda kuomba silaha
 
Kwamba atawafanya Nini !? 😁😁😄😄

Huyo Iran tu mpaka Leo hii anamtoa jasho la makalio

Ndio anataka kujichanganya Kwa china au Russia trump anazeeka vibaya 😁
 
End Game!?
You watch too much movies lil broh!
 
Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
 
Vyombo vya habari vinavyotawaliwa na waisrael ndizo hizi
He who control the media controls the narrative
 
Vita ya June mwakajana 2025, Israel iliipiga Iran bila ya kuwasiliana wala kuihusisha Marekani
Acha kupotosha, kwenye hiyo vita si ndio US ililipua Nuclear sites 3 za Iran?. Hujui kuwa kwenye hiyo vita ndio US ilimkataza Netanyahu asiende kumshambulia Ayatollah maana walienda kuomba approval. Sasa unapokuja kupotosha humu sikuelewi.
 
Vita vyote vya huko nyuma kuanzia vile vya 1948, 1956, 1967, 1971, israel imekuwa ikipigana pekee dhidi ya mahasimu wake
Sio kweli mara zote US imekua ikisaidia sio tu silaha ila intelijensia na mifumo ya ulinzi kama radar, interceptors, jammer. Hata hiyo 12 day war Iran ilikua ikirusha makombora hao US walikua wana intercept kabla hayajafika Israel sasa utasemaje hawakusaidiwa?
Acha uongo, US sio tu ilitoa silaha na intelijensia bali ilisogeza meli zake ikapelekea tukio maarufu la USS Liberty ambayo ilikua moja ya meli zilizokua zinatoa intel lakini zikashambuliwa na Israel "kimakosa". Na hizo meli zilihusika sana kuvuruga mifumo ya mawasiliano ya majeshi ya misri/Syria, zilitoa location ya silaha za adui, na kusaidia interception ya maroketi yaliyoelekezwa israel.

Uwe unasoma historia sio una rely kwenye AI kupata taarifa.

 
Hakuna kitu Kama mchango, hata Misri inapewa USD 1.3 Billion kila mwaka za kijeshi kwani inachangia nini US. Zile pesa wanapewa kama hongo tu ili waendelee kuwa vibaraka wa USA ila nothing as eti mchango, mbona wachina na wahindi ni wengi huko USA kuliko wayahudi hasa maeneo ya teknolojia na sayansi ila hatuoni hayo mabilioni wakipewa kama "msaada"?
 
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
Tatizo la kondoo ni tabu sana kutumi akili na kuuliza hivi Iran hawezi kupiga Israel lazima apite Jordan? Na je hawezi kupiga Jordan ikiwa anaweza kupiga Israel bila kutumia Jordan Air space kwa your infomation
Iran inaweza kuishambulia Israel bila kutumia anga la Jordan kwa kutumia njia mbadala za anga juu ya Syria na Iraq na pia wakapiga Jordan kwa kutumia Iraq, Syria na israel kenge atabaki kuwa kenge tu hi Geography ni akili za funza unapo deal na Missiles za Iran


View: https://x.com/i/status/2079942155150176610
 
Endeleeni tu kujilizaliza ovyoovyo!!
Karibu utapotea hapa utabaki kusafisha vyoo Tela Aviv sababu simba wa kunya chini ya shimo atabaki anaharisha akiwa kwenye shimo mara saba au nane kwa siku kipigo kinakuja Tela Aviv vs
 
Tatizo unatumia mihemko badala ya kujibu kushirikisha ubongo. Sijasema popote kuwa lazima Iran apige Israel kwa kupita Jordan. Anaweza kufanya hivyo kwa kupitia Saudia,Jordan na hata Syria.

Pia Israel anaweza kuintercept misslies za Iran zikiwa kwenye Jordan, Saudia na Syria spaces si lazima ziwe zimeingia Israel ndipo azi intercept.

Hoja yangu ni inawezekana vipi missiles za Iran zenye lengo la kuipiga Jordan ziende Israel kisha zirudi Jordan? Inawezekanaje? Hata kwa logic haikubali, kwanza ni risk kwanzi zinaweza kuwa intercepted na Israel

Umeshindwa kunijibu hoja yangu hadi sasa.
 
Houthis na Hezbollah hawawezi kabiliwa na serikali zao.
US kakimbia Afghanistan kwa Taliban, kapigana 20 years..
Impossible.
 
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
Iran ilishambulia mji wa Aqaba wa Jordan ambapo kuna kambi ya kijeshi ya US.

Baada ya ADs ku intercept missile , ule mlipuko ulioneka mji wa Eilat ndani ya Israel. Maana Aqaba ipo karibu zaidi na Eilat..

Hivyo milipuko ilisikika na kuonekana, wenyeji wa Eilat waliona ni kama mlipuko umetokea ndanj ya Israel..

Labda kama walirusha Houthis wa Yemen.. sina uhakika wao missiles zao kuilenga Jordan zinaweza kupita anga la Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…