Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Sa we kenge mbona unazunguka nani aliyeleta ujinga wa Geographical hapa si wewe kama Israel anaweza kuzi intercept Missiles kwani hakuzi intercepted mbona Jordan huwa anamkingia kifua.Tatizo unatumia mihemko badala ya kujibu kushirikisha ubongo. Sijasema popote kuwa lazima Iran apige Israel kwa kupita Jordan. Anaweza kufanya hivyo kwa kupitia Saudia,Jordan na hata Syria.
Pia Israel anaweza kuintercept misslies za Iran zikiwa kwenye Jordan, Saudia na Syria spaces si lazima ziwe zimeingia Israel ndipo azi intercept.
Hoja yangu ni inawezekana vipi missiles za Iran zenye lengo la kuipiga Jordan ziende Israel kisha zirudi Jordan? Inawezekanaje? Hata kwa logic haikubali, kwanza ni risk kwanzi zinaweza kuwa intercepted na Israel
Umeshindwa kunijibu hoja yangu hadi sasa.
Hawamalizi majina tu wanamaliza na Hawa🤣🤣Watamaliza majina yote ya OP lakini Kwa Iran lazima maji watayaita Mmaa 😁😄
Huyo ana elimu mbalimbali🤣Kombora haliwezi kurushwa kutoka Iran kuelekea Jordan eti ipitie kwenye anga ya Israel hiyo ramani ya masjid ni ya uongo kabisa.
Hii ni movie?🤣🤣End Game!?
You watch too much movies lil broh!
Sheikh wangu lugha ya kiingereza inakupiga vyenga? 🤣🤣Tatizo la kondoo ni tabu sana kutumi akili na kuuliza hivi Iran hawezi kupiga Israel lazima apite Jordan? Na je hawezi kupiga Jordan ikiwa anaweza kupiga Israel bila kutumia Jordan Air space kwa your infomation
Iran inaweza kuishambulia Israel bila kutumia anga la Jordan kwa kutumia njia mbadala za anga juu ya Syria na Iraq na pia wakapiga Jordan kwa kutumia Iraq, Syria na israel kenge atabaki kuwa kenge tu hi Geography ni akili za funza unapo deal na Missiles za Iran
View: https://x.com/i/status/2079942155150176610
Unaambiwa huyo sheikh adiosamigo ndio mwenye ilmu kubwa pale kichangani masjid🤣🤣Tatizo unatumia mihemko badala ya kujibu kushirikisha ubongo. Sijasema popote kuwa lazima Iran apige Israel kwa kupita Jordan. Anaweza kufanya hivyo kwa kupitia Saudia,Jordan na hata Syria.
Pia Israel anaweza kuintercept misslies za Iran zikiwa kwenye Jordan, Saudia na Syria spaces si lazima ziwe zimeingia Israel ndipo azi intercept.
Hoja yangu ni inawezekana vipi missiles za Iran zenye lengo la kuipiga Jordan ziende Israel kisha zirudi Jordan? Inawezekanaje? Hata kwa logic haikubali, kwanza ni risk kwanzi zinaweza kuwa intercepted na Israel
Umeshindwa kunijibu hoja yangu hadi sasa.
Mimi toka lini nilikuwa Sheikh lakini nipo njiani kutafuta elimu niwe Sheikh ni kitu kizuri sana we endelea kushika crossing bibibilia yenyewe i asema mmelaniwa mlio tundikwa kwenye msalabaUnaambiwa huyo sheikh adiosamigo ndio mwenye ilmu kubwa pale kichangani masjid🤣🤣
Wewe.jihesabie ni huna uelewa wa kutosha kwenye mambo haya.Acha kupotosha, kwenye hiyo vita si ndio US ililipua Nuclear sites 3 za Iran?. Hujui kuwa kwenye hiyo vita ndio US ilimkataza Netanyahu asiende kumshambulia Ayatollah maana walienda kuomba approval. Sasa unapokuja kupotosha humu sikuelewi.
Sheikh una kufuru utanyimwa mabikra 72🤣🤣Mimi toka lini nilikuwa Sheikh lakini nipo njiani kutafuta elimu niwe Sheikh ni kitu kizuri sana we endelea kushika crossing bibibilia yenyewe i asema mmelaniwa mlio tundikwa kwenye msalaba
Huyo mpaka aelewe ni lazima uwe na kiboko pembeni🤣😆Wewe.jihesabie ni huna uelewa wa kutosha kwenye mambo haya.
Vita ya Israel dhidi ya Iran ya June 2025 ilianzishwa na Israel dhidi ya Iran bila ya kuishirikisha Marekani.
Marekani iliingia vitani mwishoni mwa vita, likiwa ni sharti la Israel kusitisha vita.
Israel ilipoanzisha vita, na kisha Trump kuanza kuombwa na EU amshauri Netanyahu kusitisha vita, Netanyahu akasema hatasitisha vita mpaka amalize kazi ya kuzuia Iran kufikia hatua ya kutengeza bomu la nuclear, ndipo Trump akamwambia Netanyahu kuwa USA itasaidia kulipua vituo vya nuclear vilivyosalulia, kama Netanyahu atakubali kusitisha vita, zoezi hilo likikamilika. Netanyahu akaridhia. Lakini vinginevyo hiyo vita ilikuwa inaenda zaidi ya siku 12.
Trump kisha anza kuwabembeleza Iran yaishe kwa kuomba Oman iwasaidie hahaha afu nasikia kuna drone ya Iran leo imeangukuia kwenye nyumba ya Ben Gvir yule waziri wa National Security wa Israel labda kisha pigwa red cardSheikh una kufuru utanyimwa mabikra 72🤣🤣
Iran hana uwezo wa kurusha hata njiti ya kiberiti Israel🤣🤣Trump kisha anza kuwabembeleza Iran yaishe kwa kuomba Oman iwasaidie hahaha afu nasikia kuna drone ya Iran leo imeangukuia kwenye nyumba ya Ben Gvir yule waziri wa National Security wa Israel labda kisha pigwa red card
Sawa we endelea kuota tu tazama ndege za USAIran hana uwezo wa kurusha hata njiti ya kiberiti Israel🤣🤣
Yete asubiri awe defensive, lakini hana ubavu wa kuanzisha mashambulizi. Ni waoga waliopitiliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sawa we endelea kuota tu tazama ndege za USA
View: https://www.instagram.com/p/DbOUHRynIBE/?igsh=cmZ6czNpZ2Q3cnQ3
Kalipuliwa kama ulivyodokezwa?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkutano wa vichaa wakuu... wasiopendwa na wananchi wao hadi kesi za mahakamani zawasubiri... na ndo maana wanakazana na mavita - wanajua wakisimamisha vita, mbaroni kunawaita
BB Netanyau anavopenda kujiona kila siku ndani ya luninga na mtandao... nilianza kujiuliza labda ni kweli waajemi walimlipua pangoni mwake ka ilivodokezwa awali... mda mrefu hajajitokeza kutoa hotuba zake za kishetani.
Ila trumpa asingehusika na ushetani wa Epstein, asingeshikwa kwa mapvmbv na BB na kuwa kibaraka wa BB.
Siku izi wanaclone na kuvaa sura za kutengenezwa... yangu macho na masikio
sitashangaa kuna mtu humu hataki BB ahukumiwe na ICC ila anataka ma ahukumiwe... ushabiki kipofu
Hana huo uwezo,yaani bwanake ashidwe yeye tegemezi ndio ataweza?Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.
Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.
Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.
Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.
Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu
Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni
View attachment 3636243
Wewe chawa sikia sasa, huyu netanyahu ndio kawapeleka Hawa jehanamu🤣🤣Hana huo uwezo,yaani bwanake ashidwe yeye tegemezi ndio ataweza?
Sasa hii Ina maana gani Kwa Israel? Iran sio Venezuela 👇👇Wewe chawa sikia sasa, huyu netanyahu ndio kawapeleka Hawa jehanamu🤣🤣
View attachment 3637219