zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Mimi niko makini sana sibahatishi. Vita imeanza tarehe 13 June 2025, na hapa nakuwekea taarifa ya US kuzuia makombora ya iran kwenda Israel sasa kivipi haijashiriki vita?Huyo mpaka aelewe ni lazima uwe na kiboko pembeni🤣😆
Comment yako ilisema kabisa kuwa matrekani walikua invited baadae kwenda kupiga nuclear sites, lakini yeye hakuelewa sijui hakusoma vizuri. Hawa watu inapaswa tuwasaidie sana, tusikate tamaa kuwaelewesha
Gazeti refu alafu UONGO tupu, vita imeanza Tarehe 13 June 2025 na siku hiyo hiyo US iliingia vitani kumsaidia Israel kwa kuintercept missiles zinazoelekezwa Israel. Sasa mimi na wewe nani hana uelewa?Wewe.jihesabie ni huna uelewa wa kutosha kwenye mambo haya.
Vita ya Israel dhidi ya Iran ya June 2025 ilianzishwa na Israel dhidi ya Iran bila ya kuishirikisha Marekani.
Marekani iliingia vitani mwishoni mwa vita, likiwa ni sharti la Israel kusitisha vita.
Israel ilipoanzisha vita, na kisha Trump kuanza kuombwa na EU amshauri Netanyahu kusitisha vita, Netanyahu akasema hatasitisha vita mpaka amalize kazi ya kuzuia Iran kufikia hatua ya kutengeza bomu la nuclear, ndipo Trump akamwambia Netanyahu kuwa USA itasaidia kulipua vituo vya nuclear vilivyosalulia, kama Netanyahu atakubali kusitisha vita, zoezi hilo likikamilika. Netanyahu akaridhia. Lakini vinginevyo hiyo vita ilikuwa inaenda zaidi ya siku 12.
Ona sasa unazidisha uongo, lilikamilika lini na wapi? Mbona leo tena bado wanaongelea kulipua nuclear sites za Pickaxie mountain ambayo ilikuwepo tokea 12 day war lakini haikuguswaga?Trump akamwambia Netanyahu kuwa USA itasaidia kulipua vituo vya nuclear vilivyosalulia, kama Netanyahu atakubali kusitisha vita, zoezi hilo likikamilika
Kuna taarifa kuwa Pickaxie mountain haikuwa sehemu ya target kipindi kileOna sasa unazidisha uongo, lilikamilika lini na wapi? Mbona leo tena bado wanaongelea kulipua nuclear sites za Pickaxie mountain ambayo ilikuwepo tokea 12 day war lakini haikuguswaga?
Acheni kupotosha, kuweni watu wa facts.
Alichoxungumzia Hamatan ni mashambulizi yaliyofanyika huko Iran, sio interception ndani ya Israel. Hapo bado hujaelewa?Mimi niko makini sana sibahatishi. Vita imeanza tarehe 13 June 2025, na hapa nakuwekea taarifa ya US kuzuia makombora ya iran kwenda Israel sasa kivipi haijashiriki vita?
View attachment 3637247
Iran sio venezuela alafu kiongozi mkuu ayatollah kabamizwa kama kuku siku ya kwanza tu kapelekwa jehanamu🤣🤣Sasa hii Ina maana gani Kwa Israel? Iran sio Venezuela 👇👇View attachment 3637221
Kalipuliwa kama ulivyodokezwa?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie akili zenu zipo beyond repair, si ajabu ndio maana mnaamini Kuna bikra 72 peponi