Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

Nisichokibisha ni kwamba Hamas ni Moja ya makundi ya ukombozi yenye spirit ya hali ya juu sana.
Nb.
Hawa watu sio waoga! Nimafundi wa vita kwelikweli. Kupigana na Israel Kwa siku 470 so kitu kidogo.
 
Mbona wale mateka wa kike afya zao zilikuwa safi, kulikoni hawa mateka wa kiume?!!!
 
Kama hawakuuwa ila walikaa miaka 22, basi Israel ni waungwana
Nyie ndiyo vizazi vyenu uwa vinapata laana Wapelistina wanakufa kila siku kwenye magereza ya Israel hamna wakuwatetea hawa wamekaa jela miaka 22 wengine wamerudi hawana miguu kosa lao kutetea ardhi yao wewe unaona siyo tatizo na unawasifia Waisrael daaah.

Mfungwa Ibrahim Al-Shawish akizungumzia mbinu za mateso zinazotumiwa na jeshi la uvamizi kwa wafungwa. Yeye ni mmoja wa wale walioachiliwa hadi Ukanda wa Gaza kama sehemu ya mpango wa Mafuriko wa Al-Aqsa.
Angalia hiyo video huone huo uungwana.


View: https://x.com/khaberni/status/1888274529362886913?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Mkuu unazunguka sana. Nadhani jawabu ni rahisi tu, kwamba malengo ni kukomboa ardhi yao. Na malengo yao hayakutimia. Kwamba hakuna hata kipande kidogo cha ardhi kilichorudishwa. Zaidi sana Palestina wamepata hasara kubwa ya watu kama 46,000 na mji wa Gaza kuharibiwa huku yahudi akipoteza watu kama 1300. Labda wajipange upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…