Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israel haiwezi kupigana na wanajeshi wa kweli ardhini.Nisichokibisha ni kwamba Hamas ni Moja ya makundi ya ukombozi yenye spirit ya hali ya juu sana.
Nb.
Hawa watu sio waoga! Nimafundi wa vita kwelikweli. Kupigana na Israel Kwa siku 470 so kitu kidogo.
Wa kiume lazima wale kutegemeana na mameni wengine wanakulaje!Mbona wale mateka wa kike afya zao zilikuwa safi, kulikoni hawa mateka wa kiume?!!!
View: https://x.com/suppressednws/status/1888214352039223644?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Walitupiga mbele ya Red Cross"
Mateka wa Kipalestina, aliyeachiliwa baada ya miaka 22 ya kifungo kisicho halali cha Israeli, anafichua kwamba wafungwa walipigwa hata katika dakika zao za mwisho kabla ya kuachiliwa mbele ya Msalaba Mwekundu.
Kama hawakuuwa ila walikaa miaka 22, basi Israel ni waungwana
Nyie ndiyo vizazi vyenu uwa vinapata laana Wapelistina wanakufa kila siku kwenye magereza ya Israel hamna wakuwatetea hawa wamekaa jela miaka 22 wengine wamerudi hawana miguu kosa lao kutetea ardhi yao wewe unaona siyo tatizo na unawasifia Waisrael daaah.Kama hawakuuwa ila walikaa miaka 22, basi Israel ni waungwana
HapanaHivi malengo ya Israel kukimaliza kabisa kikundi cha Hamas yametimia?
Huyu je?Wa katikati ndio anatia huruma zaidi.
Mkuu unazunguka sana. Nadhani jawabu ni rahisi tu, kwamba malengo ni kukomboa ardhi yao. Na malengo yao hayakutimia. Kwamba hakuna hata kipande kidogo cha ardhi kilichorudishwa. Zaidi sana Palestina wamepata hasara kubwa ya watu kama 46,000 na mji wa Gaza kuharibiwa huku yahudi akipoteza watu kama 1300. Labda wajipange upya.Swali la kitoto unaniuliza ndiyo maana nimekuuliza una umri gani vita vya Gaza huwenda umeanza kuvijua kuptia JF, Palestina toka mwaka 1947 wanapambana na Israel baada ya kuchukuliwa ardhi yao wewe unakuja na habari za kitoto za Oct 7 nakushari huu uzi mzito kwako kuwa msomaji tu.