NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

kwamba daktari anasahau matibabu ya magonjwa common ? je anaenda kutibu nn ? kama mwl hajui aina za maneno , je ataenda fundisha nn huko shulen
 
Kwanza kabla hatujafika mbali wakufunzi wanatosha kulinganisha na ratio ya mwalimu na wanafunzi ?

Ukishajibu hapo takuuliza tena, Kama watunga Sera wanashindwa kuhakikisha watu wanaolipa Kodi hawana guarantee ya kupata ujira kutokana na kuwa na ajira kazi yao ni nini ?

Mwisho kabisa kama wameshindwa kutafutia watu ujira kwanini wanaendelea na makamuzi ?



Ukifuatilia yote haya utaona kwamba its all about politics (wanasiasa wameingizia sana Siasa kwenye mambo ya msingi na wamebakia kufanya propaganda na kutumia kodi zetu kufanya kampeni)
 
Inawezekana una logic lakini sio Kila mtu humu ni Mzee. Tujaribu kutofautisha rejesta na mahali pa kuzitumia. Unakuta mtu anapewa nafasi kutoa salamu kanisani anaanza kuita watu Wana au wazee. !!

Hopeless.
 
Hata mimi nashangaa kwanini walimu hawataki interview wakati kada zingine zote tunafanya interview kabla ya kupata ajira.
 
Watu mliosome English Mediuma mnajiona sana
Sinde shule ya msing, sinde sekondari , igawilo sekondari... Nakumbuka waliwah kuja walim wa field mwaka 2005.
Mwalim alikuja akatufundisha much na many kinyume (yan sehem ya many akasema tunatumia much af sehem ya much akasema tunatumia many. )

Yam mpaka mzazi wa mwanafunzi mwenzang mmoja akaja kustukia mchongo. Mwalim wa field alatoroka hatuka mwona had leo.
 
Wewe si
Achia office bro, tupe vijanaa.
umri wako wa kustaff umefika sasa.
 
Katika hoja . Basi hii ya kwako ni hoja mama. ...

Binafsi ntajitahid niku tad. Kwenye post ambayo nta ainisha mapungufu ya mtaala au mfumo wetu. Huku viongozi wakijitahidi ku improve mzigo (wanafunzi) bila kuzingatia punda. (Mwalim)
 
Uko sawa?
 
Wewe huna nafasi ya kuwakosoa hao walimu wa NETO, kwasababu hata uwasilishaji wako wa mada una mapungufu mengi sana.

[B]___________________________[/B]

Wazee niwaambie asilimia 70 ya walim wa NETO. hawako compitent. Yaan. Swala la kusahau content lipo deep sana.

Mwali wa kiswahili hata kuchambua senyensi hajui . Aina na makundi ya ngeli hajui. Ukitaka akimbie muulize tu ushahidi wa kiisim kua kiswahili ni kibantu na aseme hatua za usanifishaji lugha.

From there watu wataamka na kuanza kujishughurisha. .. me nawahakikishia kua wabongo ni waviv sana. .. acha wenye chembechembe za uchapa kazi waajiriwe kupitia usaili...

Heb sogea mbele nikuulize ndugu, unadhani mwalim alofeli paper anafaa kufundisha somo husika ?
 
kwamba daktari anasahau matibabu ya magonjwa common ? je anaenda kutibu nn ? kama mwl hajui aina za maneno , je ataenda fundisha nn huko shulen
Huwa chawa wawanaotakiwa kuwezesha mambo wakishindwa huwa aibu wanaifichia kwa chawa wao.,isiwe hoja hii imeshafikia huko.?
 
Mapungufu ya mfumo ni mengi sana ndugu . Nakubaliana sana na hoja zako.

Ila nikusahihishe kidogo ... Hakuna mwalim wa kiswahili alopewa mtihan wa kingereza, wala mwalim wa kingeteza alopewa mtihan wa kiswahili.

Nadhan hata NETO wangukua specific na matatizo yakimfumo kama ulivo wewe wangekua wamefanya la maana sana.

Tunatarajia watu wakosoe mfumo ili urekebishwe lakini interview haijawah kua dhambi kwenye taaluma zingine bas iwe vivyo hovyo kwenye ualim.
 
kwamba daktari anasahau matibabu ya magonjwa common ? je anaenda kutibu nn ? kama mwl hajui aina za maneno , je ataenda fundisha nn huko shulen
Kwa hiyo dawa ni kuwanyima ajira muda mrefu iliwasahau,huku mkiwaandaa watoto wenu wewe tayari kufauli interview ambazo hata zile chaguzi zetu zina nafuu?
 
Comrade. Watu wanadai huruma juu ya kazi muhim ya kutrain watu comrade. ... Imafaa tupeane elim sana.

Watu wasitegemee huruma .. ila wategemee taaluma.

WALIMU TUJIWEKE SAWA. TUKISIMAMA KUDAI HAKI BASI TUSIWE NA MADOA DOA. ... AJIRA NI HAKI YETU. ILA PIA KUWA SMART NA COMPETENT NI WAJIBU WETU.
 
Hata mimi nashangaa kwanini walimu hawataki interview wakati kada zingine zote tunafanya interview kabla ya kupata ajira.
Shida yangu ni si kwanini interview,miaka 10 upo upo tu,yupo aliyetoka darasani leo huyo anayo chance 80 ya kufauli hiyo interview.Je kwa mazingira ya ukosefu wa ajira ya viwango vyetu je.Room ya hizi interview kuwa free & fair ipo?Tukumbuke mazingira yetu ya kawaida bila kusahau jinsi zinavyofanana chaguzi zetu,jinsi tunavyofanya mambo yetu pindi mtu awapo kwenye ajira.Jinsi ya kutekelewa majukumu katika ajira na mambo yooote ya mazingira yetu ya kila siku bila kusahau jinsi siasa ilivyochomekwa kwenye kila jambo hata yale ya msingi sana na yasiyohitaji hata chembe ya siasa.
 
Neto uwezo wao wa kufikiri ni mfupi sanaaa.
Imagine vijana wote waliopita JKT nao washinikize kuandikishwa jeshini itakuajee?
Au basi wote ambao hatuna ajira tushinikize kuajiriwa patakalika kweli kwenye hii nchii?
Kwa namna mifumo ilivo sasa watu Wana implement automation system/ robotic system ili ku increase product.

Wanaondoa wafanyakazi ili kuepusha gharama za kila siku za kuwalipa. Sasa nyie endeleeni kishinikiza kuajiriwaaa
 
NETO wengi ni vijana waliofeli, au kuana na ufaulu wa chini sana,
hawana sifa na kwakweli hawaajiriki.

NETO ni hatari kwa ustawi wa taaluma mashuleni πŸ’
Unaandika uzi na kujipa support mwenyewe, eti?

Kama unaelewa malalamiko yao huwezi kuandika ujinga kama huu. Haya jipe support!
TAMISEMI, wala ruishwa, unategemea waendeshe zoezi la kutafuta waalimu kwa amani? Ni upuuzi tu na waziri wa elimu naye HOVYO!!

Waziri wa elimu anajiingiza kwenye mambo ambayo yeye mwenyewe Wizarani anaeleweka kwa ukabila na kiburi ya kukataa kushauriwa. Amesoma gwini hataki kusaidiwa kupanga mwelekeo wa sayansi,. Mtu gani huyu. No wonder aliambiwa "Nonsense!"
 
walimu wasio na sifa hawastahili kupewa fursa ya kufundisha watoto wetu,

wanyinwe nafasi hizo wasije haribu kiwango bora cha elimu yetu πŸ’
 
Ila hoja yao ya kufutwa kwa usaili kisa wanakaa muda mrefu bila usaili ni ya kipuuzi na ya kupuuzwa kabisa.
Wahasibu, wanasheria, wahandisi, madaktari wote hao hupitia usaili.

Kampuni gani itakuajiri bila kukupima, hata ukae miaka 10 lazima upimwe je unakumbuka ulichofundishwa?? Sasa hukumbuki utaenda kufundisha nini?

Hesabu ni formula, wewe ushasahau zote, wewe ticha wa kemia upewe maabara na huna chemical formula unayokumbuka mwisho uishie kuichoma moto maabara yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…