NETO punguzeni jazba: Tusiingize siasa kwenye elimu, tuache interview iamue nani aajiriwe

Dah. Tunahitaji san watu wenye weredi wa kufikiri wa namna
Umepanick sana.
Madaktaru wanafanya intervuew, watu wa uchumi mabenk humo na TRA wanafanya Interview ... Why ninyi wali. Muogope interview jamani ???

Kwani hata Ruban akifanyiwa interview nae inamanisha wanamasjaka na elim yake . Au wanaangalia weridi wake ?
 
Yaani wewe ni mjuaji wa kila kitu!! Nikizaa toto lenye kiherehere kama wewe NALICHINJA
Ukweli mchungu, Ukweli unaumiza mtima,

elimu haina mwisho, ikiwa ulizembea masomoni, huwezi elewa mambo muhimu na rahisi kama haya gentleman,

kusoma ni kuzuri sana, unakua awere na kila kitu kabla hata hakijaandikwa humu kama hoja mahususi mezani 🐒
 
Sijui nina shida gan kila nikisoma comment zako nazisoma kwa lafudhi ya kisukuma
 
Huna hoja, huenda wewe ni mwana CCM. Wana CCM Wana roho mbaya sana na hujiona wamekamilika. Shame on you mbwa nyie
 
Mkenda hastahili hata kidogo kuongoza hata kikundi Cha wanaukoo wake. Anajionaga smart sana kumbe ni non sense kama Alivyotambulishwa Kwa Rais Mseveni.
 
NETO wengi ni vijana waliofeli, au kuana na ufaulu wa chini sana,
hawana sifa na kwakweli hawaajiriki.

NETO ni hatari kwa ustawi wa taaluma mashuleni 🐒
Lowassa alisema vijana kukosa ajira ni bomu. Muda ukifika litalipuka!
SSH alifeli shule Leo ni Rais.
Makamba, Nape, Makonda n.k walifeli, Leo ni watu kwenye jamii!!

Hata kama ni failures haina maana wasipate kazi yoyote kujikwamua na umaskini!
Uongozi ni kubuni na kutengeneza fursa za ajira!
 
Gentleman,
fursa za ajiri za uhakika na zinawatosha vijana wote hususan hao waliofeli na kukosa sifa ni kwenye sekta ya kilimo, na si vinginevyo,

waende huko kujikwamua kiuchumi 🐒
 
Acha uwongoo kuna walimu wanafundisha shule za private na wako vizuri lakini hizo interview wamekwama, hayo maswali yalikuwa yanapima compitence ya mtu?

Itoshe tu kusema serikal ina nafasi chache zau kuajiri haina uwezo wa kuajiri walimu wote, tuache visingizio visivyo na msingi wala maana yoyote
 
Siku mkianza interview za Wakurugenzi,wakuu wa idara,makatibu wakuu,makatibu tawala,na mawaziri ndio mje muwalaumu hawa walimu
 
Swala la kukataa interview ni hoja isiyoelezeka, in short haiwezekani

Jambo la msingi interview iboreshwe

Walimu wafanye interview kama za watu wengine

Maswala ya interview haina content maalumu ni changamoto ( kuanzia O level, advance hadi chuo)

Interview ya kufanya maswali 25 ya multiple choice ni uongo (haiwezekani kumtaini mwalimu kwa usahili huo)


Kuna baadhi ya vitu watu wanaongea ila hawajui tu

Mimi nimeacha kufundisha mwaka wa 5 huu,

Nimekomaa na kusoma chemistry O level to advance ( waliosoma chemistry wanajua load yake japo Kuna vitu lazima viachwe kwa nature ya interview)

Hapo naenda written na Oral sijakutana hata na swali moja bali ninekutana kwenye oral tena swali ambalo tulisoma chuo

Kwenye Biology nikaamua kukomaa na course za education tu mwisho kwenye mitihani wakabase kwenye masomo kwa asilimia kubwa


Hii ndio shida ya interview hizi za walimu

Tuweni fair, mtu aliyekaa mtaani kitambo Kisha umpe mtihani usio na format maalumu lazima itakuwa shida ( Kuna mtu humu anapiga kelele ila akiambiwa afanye mtihani wa O level/ advance tena hatooi
 
Mimi binafsi najiamini nipo competent (In short challenge za hapa na pale hasa kujifanya mjuzi nikaenda education, kwa upande wa matokeo ya O level na advance nimepata div 1 tena shule za kata)

ila ule mfumo wa mitihani ni mbovu na japo nimepambana nao hivyo hivyo

Private interview zao zimenyooka, unaenda unajua unapewa paper ya advance unahangaika nalo

Au unapewa darasa ufundishe ila sasa interview hizi ukae na kuanza kuwakariri wanafalsafa zaidi ya 30 ni kipengele
 
Hawa kondoo wanaongea tu ila hawajui manyiki ya wanachokieleza. Wao wanageneralize tu
 
Kwa mwezi hata kama kila siku atakunja 30k basi ana uhakika wa 1M kasoro
 
Hata ukipita miaka mitano ama zaidi

Everyone is mad and the degree of madness will be measured when you are angry
 
Kwa uhalisia ili kuboresha Elimu inatakiwa Walimu waliokazini wapewe mitihani atayefeli awe amejifukuzisha kazi ili waajiriwe wapya
 
Usaili ni lazima hata kama mtahiniwa asipotaka.

Utumishi shikilieni hapo hapo, msiachie 🔥
 
Interview ni spinning tactics ya serikali kutoajiri!

Jamaa wamegundua hilo na wapo sahihi!!

Kazi yenyewe ya kufundisha haihitaji hayo yote!kama nilianza kifundisha baada ya kumaliza TU form four na vijana walifanya vizuri bas nimuamini B.H Pratap that teaching is an art not to be taught!
 
ivi shule za kata si zimeanza 2005 ivi
ulikuwa vzr una baiskeli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…