Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Bila kutubu, damu ya mwendazake haitotuacha salama.
Pole sana kwa waliofikwa na majanga hayo...
Kwani vipima mwendokasi vimeondolewa kwenye mabasi,,
na yule Police wa Dodoma aliyesema atasindikiza mabasi aliishia wapi?
Vipi kuhusu tochi za comfort, kitonga pale juu, kabla na baads ya sao hill? Ule mstari wa kutokuovertake je? Unatumiaga mbinu gani mzee?Mbona mimi ndo zangu hizo.
Pengine kama unaendeshwa.
Dar-Mbeya ni endurance test ya dereva yeyote, lakini mimi huwa naenjoy sana.
Kuna sehemu za spidi, Chalinze -Mikese, Moro-Doma, Ilula -Iringa, Tanangozi-Mafinga, Sao Hill, Makambako Igawa. Mwisho wa spidi
Sehemu nyingine zote mwendo kasi utakuondoa barabarani.
Tochi za comfort na baada ya Kitonga hazipo kila mara.Vipi kuhusu tochi za comfort, kitonga pale juu, kabla na baads ya sao hill? Ule mstari wa kutokuovertake je? Unatumiaga mbinu gani mzee?
warudishe Kiswere, Zainabu au Scandnavia qisee ilikuwa noumaa!Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi
Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi kwakuwa habari nimezipata kwa juu juu.
picha zipo ila mtandao unasumbua inakuwa shida ku upload
View attachment 2098404
Wrong idiom in the context of the topic under discussion.Kawia ufike
Comfort kuna masista wawili pale wakanambuaga acha teni, juu kitonga jamaa wakaniambia umeovertake sehemu usio stahili nikawaambia andikeni, baada ya sao hill kwenye kilima nikadakwa tena nikatoa 5,000 maeneo ya karibu na daraja la karibu mbeya nikapigwa 5,000 tenaTochi za comfort na baada ya Kitonga hazipo kila mara.
Na zikiwepo weka buku mbili na uendekee na safari.
Sao Hill kanyaga , pale ukipiga 150km/hr ni dk 10.
Kabka na baada ya hapo nenda na sheria tu.
Ha haComfort kuna masista wawili pale wakanambuaga acha teni, juu kitonga jamaa wakaniambia umeovertake sehemu usio stahili nikawaambia andikeni, baada ya sao hill kwenye kilima nikadakwa tena nikatoa 5,000 maeneo ya karibu na daraja la karibu mbeya nikapigwa 5,000 tena
Ha ha
Hao kina dada Kitonga wapo muda, ni mradi pale.
Sehemu zote ulizolizwa ni za spidi ndogo.
Siku hizi usipotaka usumbufu piga nig
Daah night shift ukungu unakuaga wa kutosha nawaza sehemu kama mafinga inakuaga nyuzi joto 16-19 unaweza vaa lori..kuna siku nilitoka mbeya hadi kyela saa saa 4 usiku ebwana huo ukungu ulikua hatari...Ha ha
Hao kina dada Kitonga wapo muda, ni mradi pale.
Sehemu zote ulizolizwa ni za spidi ndogo.
Siku hizi usipotaka usumbufu piga night shift.
Night shift matumizi ya taa muhimu sana.Night
Daah night shift ukungu unakuaga wa kutosha nawaza sehemu kama mafinga inakuaga nyuzi joto 16-19 unaweza vaa lori..kuna siku nilitoka mbeya hadi kyela saa saa 4 usiku ebwana huo ukungu ulikua hatari...
Ukisema Mbeya _Dar mbali vipi kuhusu Mby_Mwz nao wasemajeMwendokasi unaua ila Mbeya-Dar mbali nyie dereva asiponyosha goti mnafika keshokutwa. Pole yao
Ukisema Mbeya _Dar mbali vipi kuhusu Mby_Mwz nao wasemaje
Mswahili ajawahi kufanya ishu seriously
Umeambiwa ajali imetoka Iringa wewe uanulizia mambo ya Dom, comprehension must be hard for you.
Relax
Kuna route ya Dodoma - Mbeya,,, na ipo ya Dodoma - Njombe
Hizi zote gari inapita hapo Tanangozi.....
Sasa sijui yule Afande wa mchongo alizungumza atasindikiza route ipi?? Tufahamishe kama unafahamu lolote... Wala hakuna vita ya Ujuaji ni kujuzana tu
Ugumu wa kuelewa uko wapi hapo mkuu...Unaendelea kupuyanga.
Afande alisema atasindikiza route zote hadi mwisho wa mipaka ya mkoa wake. Nje ya hapo ni jukumu la mikoa mingie as he has no jurisdiction over that.
Hiyo ajali imetokea Dodoma?
Watanganyika wagumu sana kuelewa.