New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

New Force yapata Ajali Tanangozi Iringa

hii kampuni ya hizi basi ichunguzwe hili basi limekua roho mkononi sijui madereva wao wanawatoa wapi hizi newforce ni chinja chinja
 
Kama heading isemavyo, majira ya mchana huu katika barabara ya iringa - Mbeya Bus la New Force limegonga lorry kwa nyuma na inasemekana chanzo cha ajali ni mwendo kasi na ku overtake bila kuchukua tahadhari, haijafahamika kama kuna vifo au majeruhi

Kwa mliopo Iringa mwaweza kutufahamisha zaidi kwakuwa habari nimezipata kwa juu juu.

picha zipo ila mtandao unasumbua inakuwa shida ku upload

View attachment 2098404
Kwahiyo taarifa kwamba polisi wanasindikiza mabasi ilikuwa uongo ?
 
Back
Top Bottom