Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
- Thread starter
-
- #201
God want to settle your life but the major problem you have is lack of lready.April 28
Yes.
Shetani free style zake za ulevi, music of hell, zinaa , uganga kakopi mbinguni.
Mganga akifanya free style divination mnaona sawa tu na pesa mnampa.
Mimi kuwafanyia watu free style prophecy
Yes.
Shetani free style zake za ulevi, music of hell, zinaa , uganga kakopi mbinguni.
Mganga akifanya free style divination mnaona sawa tu na pesa mnampa.
Mimi kuwafanyia watu free style prophecy nongwa
unavosema shetani kakopi free style za mbinguni kama zinaa, uganga, ulevi nk. tangu lini mbinguni kuliwahi kuwa na zinaa?
Wacha bwana weweeeeeForget everything that hearted you .
You are about to inter into new beginning by with angelic assistance
Nisaidie Mtumishi... Mimi tarehe 7 Januaryal1
Simaanishi kakopi hayo mambo ya hovyo niliyoyataja.
Namaanisha kuwa shetani anawatumikisha watu kwa free style.
Free style ni chap, na unconditionally.
Ok. Nitajie na initial name yako pleaseNisaidie Mtumishi... Mimi tarehe 7 January
Utabiri huu uliosema ni kwa ajili ya huyu peke yake au kwa woote waliozaliwa tarehe sawa na huyu?Mungu amekupa ideas nyingi ila umekuwa mzito kufanya uamuzi. Unasita. Mungu anasema kuwa tayari na ufanye lile jambo /wazo utafanikiwa.
Kuna strong ideas kichwani mwako.
Tatizo lako ni moja tu , umekosa utayari
Swali zuri sana nimekuwa nikijiuliza hata mimi Binafsi kwenye hili sualaUtabiri huu uliosema ni kwa ajili ya huyu peke yake au kwa woote waliozaliwa tarehe sawa na huyu?
Ngumu kumeza.
Imagine mimi nimezaliwa tar 15/08/1905. Lakini tarehe hiyo sikuzaliwa peke yangu, kuna watu wengi walizaliwa tarehe kama hiyo, na mwaka uliofuata tar kama hiyo kuna watu pia walizaliwa na miaka yooote iliyofuata watu wakazaliwa mpaka tunafika mwaka jana kuna watu wamezaliwa tar 15/08.
Sasa unawezaje kumpatia utabiri mtu mmoja eti ana strong idea ila amekosa uthubutu, je utabiri huo ni kwa watu wooote waliozaliwa tarehe hiyo? Maana wana maisha tofauti tofauti.
Na mimi nisaidie tarehe yangu ni 14 mwezi wa 11Ok. Nitajie na initial name yako please
π€£π€£π€£π€£π€£Namalizia pia kama mtahitaji kujiunga na group tupo hapa YAKUZ bin YAKUZ....
Taja tarehe yako malizia na neno YAKUZ
Tuma mwaka wako malizia na neno YAVUZ
Ila JF haipoi haiboi...na haina kipengele labda uje nacho...π€£π€£π€£Niko hapa ndege
ππππ Karibu kwa group mkuuπ€£π€£π€£π€£π€£
Nimecheka mpaka nimesinzia
Any updates???