New prophet in Town. Ninafanya free style prophecy hapahapa JF

Una moyo wa huruma, unapenda kusaidia wengine na kuweka amani.
Wakati mwingine unaweza kuwa na wasiwasi kupita kiasi au kutaka kudhibiti mambo kwa sababu ya kujali kupita kiasi.
Unavutiwa na sanaa, uzuri na undani wa kihisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…