Kuanzia mwaka 2035 Ulaya, Marekani na Japan wataacha kabisa kutengeneza magari yanayotumia nishati ya mafuta na itakuwa ni ya umeme tu.Punguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?
Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..
Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii
Kwa maana hiyo inawezekana kuna wanasiasa wana pesa ndefu kupita akina bezos mkuu?Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.
Bezos ni mfanyabiashara Tajiri zaidi, ila kuna wanasiasa wengi sana wana hela za kuchezea.
Wapo pia wauza madawa na watu wengine wanaofanya biashara haramu.
Hiyo Kufuru aiseeFamilia ya kina MBS inamiliki utajiri wa Β£1 trillion, sasa huu utajiri ni kufuru.
Putin Kuna watu wanadai anafikisha $200B utajiri. Yeye pia ni potential Tajiri kuliko Bezos.Kwa maana hiyo inawezekana kuna wanasiasa wana pesa ndefu kupita akina bezos mkuu?
Huwa kwenye Utajiri wa Dunia hawawahesabu wanasiasa.Kinachofanya wasiweke data zao za mapato na vyanzo vyao ni kipi hasa mbona naona kama kuna tatizo?
Kuendekeza Ushirikina Starehe na Husuda, yaani chuki dhidi ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja.Inshort Arab land was blessed as ours Africans, Ila sijui ilikuwaje tukaishia kuwa maskini
Faustin AspiriaNiki sikia neno Newcastle United, namkumbuka Aspira.
Wakati naingia mjini Daresalaam kwa mara ya kwanza nikitokea kijijini Aspira ndio ilikuwa habari ya mjini.
Na Nkwanko Kanu (Arsenal)
Ila nilikuwa mdogo wakati huo, msinione Babu.
Exactly...huku wananchi wanalia njaa
Nchi ina invest kuwanunua kina mbape
Mambo yanaenda kasi sana, sasa Tegemea Newcastle united kuwa na wachezaji wa Kiarabu kama wote
Huku Newcastle ndio pakuja kupoza machungu yangu ya Arsenal, now hakuna namna
Asilimia kubwa ya pesa iliyonunua klabu ya Newcastle ni pesa ya serikali, sema mwanamfalme ndio kazichengesha tu sababu hakuna mwananchi ambaye atapiga kelele zozoteWaarabu ndio watu wenge pesa ndefu zaidi duniani sema huwa hawapendi kujiweka wazi.
Huwezi kuta list ya matajiri kumi duniani wamo...lakini pesa ipo ya kutosha kwanza pesa yao inazifunika paound,euro na dollar.
Namkumbuka kocha mkongwe kabisa Sir Bob Robinson RIPNiki sikia neno Newcastle United, namkumbuka Aspira.
Wakati naingia mjini Daresalaam kwa mara ya kwanza nikitokea kijijini Aspira ndio ilikuwa habari ya mjini.
Na Nkwanko Kanu (Arsenal)
Ila nilikuwa mdogo wakati huo, msinione Babu.
Punguza kukariri
Utajiri wa mafuta wakati magari ya umeme yanashika kasi?
Huu utajiri walionao hata miaka 10 kuanzia leo hauta last..
Mafuta mbele ya magari ya umeme nani atayataka?..
Walipaswa kutazama nchi yao bila mafuta itakuaje....
Magari ya umeme Yana take over the world decade hii hii
Yaah, hii biashara ya Mafuta bado itaendelea kuwepo sana tu mkuuNawewe wacha kukariri hakuna Scania au lory litakalotumia Umeme ndugu! Gari za umeme ndiyo hizo IST, huwezi panda Kitonga na Tani 30 kwa umeme.
Biashara ya Mafuta kwamwe haitoweza kudorora katika Dunia hii.
Mabasi ya Mikoani yanayotembea Kilometa 800 labda uyapachike Solar lakini si umeme ambao Betri yake unadumu masaa yasiyozidi Mawili, almost unatoka Dar ukifuka Kibaha uncharge tena. Dar - SINGIDA, Mwanza, Tabora, Musoma, Kigoma, Bukoba uende kwa basi la umeme? πππ
Yaah! Kanunua kupitia kampuni ya umma inayoitwa Public fund InvestmentAsilimia kubwa ya pesa iliyonunua klabu ya Newcastle ni pesa ya serikali, sema mwanamfalme ndio kazichengesha tu sababu hakuna mwananchi ambaye atapiga kelele zozote
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app