Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Eti nimuulize mtu fulani! Mbona unaleta swaga za kizamani ww kama umeshindwa kuweka chanzo hapa manaake huna jipyaaaaaaa ........... eti ni siri sasa mbona unetangaza kwa umma kama ni siri........,.......... no data shut up ua mouth...,........u hv no right to speak/write.......... .......
 
Huu Ni ujinga, kwani hiyo iliyowekwa hapo juu kama stick, hatuioni?, yaani wewe unakopi na kupesti hapahapa.

non sense
 
Mm hapo sijaona PGSS, PTSS, PUTS, na nyingine nyingi au itaendelea toleo lijalo?
 
hapo kwenye watumishi wa serikali wenye taaluma mbalimbali. graduate anaeanza kazi, ngazi yake ni ipi y mshahara?
 
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

[/LEFT]
[/CENTER]
kaka samahani naomba nipate hii file eidha kwa njia ya pdf au word doc...naahitaji au unambie wapi naweza nikapata taarifa hii....ahsante
 
nisaidie hii ya bandari TPOS 2 ni shilingi ngapi.
 
Mwenye kujua mshahara wa afisa mtendaji grade 2 ni sh ngap naomba msaada wake maana nipo katika private sector kwa sasa na nimeitwa kwenye usaili next week nataka nilinganishe maslahi na huku nilipo kwa sasa
 
Mh! Majanga ina maana hata usail bado mtu anaulza pay? Ok ktk tangazo lao c waliweka viwango vya mshahara kama Tgs D,e nk.
 
Mwenye kujua mshahara wa afisa mtendaji grade 2 ni sh ngap naomba msaada wake maana nipo katika private sector kwa sasa na nimeitwa kwenye usaili next week nataka nilinganishe maslahi na huku nilipo kwa sasa

Rejea mishahara ya serikali TGS D
 
asante maana umenifumbua akili na mimi nilikua sijui viwango hivyo zaidi ya kusikia tu herufi mara TGSE MARA TGS D
 
Kweli mishahara ya serikali ni midogo yani mtu wa degree unakula 620,000 wakati kwenye mashirika ya umma watu wanachukua 1-1.5M hiyo ni out of house allowance
 
Kweli mishahara ya serikali ni midogo yani mtu wa degree unakula 620,000 wakati kwenye mashirika ya umma watu wanachukua 1-1.5M hiyo ni out of house allowance

Inategemea ni kampuni gani kama ni ya waarabu sahau juu ya hlo
 
Mwenye kujua mshahara wa afisa mtendaji grade 2 ni sh ngap naomba msaada wake maana nipo katika private sector kwa sasa na nimeitwa kwenye usaili next week nataka nilinganishe maslahi na huku nilipo kwa sasa

Tgs c2
 
duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!
Huyu nahisi ni graduate wa chekechea na huko nafiri wanapata full scholarship hakuna mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…