Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia salary slip yako ya july 2014
Asante kwa taarifa
kaka samahani naomba nipate hii file eidha kwa njia ya pdf au word doc...naahitaji au unambie wapi naweza nikapata taarifa hii....ahsanteWanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
[/LEFT]
[/CENTER]
TGS A hadi C ni kiwango cha watumisha kwa watumishi wa serikali wanaoanza kazi bila kuwa na shahada. Hiyo TGS D ndo wale wanaoitwa maafisa pindi wanapoanza kazi ingawa hata wasiokuwa na shahada wanaweza panda toka A hadi G ambayo huwa ndio kiwango chao cha mwisho hawawezi kupanda zaidi ya hapo labda wawe wamepewa madaraka (sio cheo).
Kwa government system, mshahara wa TGD D huanzia around 470,000/= kwa mwezi na kwa TGD E huanzia 600,000. Hii haiwahusu walimu na madaktari. Kwa engineers wote including ARDHI degrees wao wanapoanza kazi huanzia na TGS E na kwa degree nyingine zote huwa wanaanza na mshahara wa TGS D upon first employment na Government. kwa wenye degree mshahara ya hupanda hadi kufikia TGS H amabapo ili kwenda TGS I, ni lazima upate cheo cha madaraka (i.e uwe mkuu wa idara, mkurugenzi etc, hii haiwahusu wakurugenzi wa mashirika ya umma yanayojitegemea kama tanesco, TBS, TANAPA, Ngorongoro TRA etc. wao wana mifumo yao ya mishahara ambayo ni mikubwa kuliko ya watumishi wa wizara za serikali na halmashauri ambao ndiyo wanaotumia mfumo wa TGS)
Unapokuja kwenye TGS I, hivyo ni viwango vya mishahara vinavotokana na madaraka km ukiwa mkuu wa idara serikalini basi mshahara wako ndo utaanzia na TGS I au ukiwa na cheo cha Principal, mshahara wako walau utaanzia na TGS I. Hao unaowasikia wakuu wa idara za wizara wote mishahara yao huanzia hapa ambao ni around 1,400,000/=.
Hope mpaka hapa utakuwa umepata mwanga kidogo.
Mwenye kujua mshahara wa afisa mtendaji grade 2 ni sh ngap naomba msaada wake maana nipo katika private sector kwa sasa na nimeitwa kwenye usaili next week nataka nilinganishe maslahi na huku nilipo kwa sasa
thanks nimeona its 500,000 + sio mbaya kwa kuanzia hasa ukizingatia ni serikaliniRejea mishahara ya serikali TGS D
thanks nimeona its 500,000 + sio mbaya kwa kuanzia hasa ukizingatia ni serikalini
Kweli mishahara ya serikali ni midogo yani mtu wa degree unakula 620,000 wakati kwenye mashirika ya umma watu wanachukua 1-1.5M hiyo ni out of house allowance
Mwenye kujua mshahara wa afisa mtendaji grade 2 ni sh ngap naomba msaada wake maana nipo katika private sector kwa sasa na nimeitwa kwenye usaili next week nataka nilinganishe maslahi na huku nilipo kwa sasa
Huyu nahisi ni graduate wa chekechea na huko nafiri wanapata full scholarship hakuna mkopo.duh hivi wanaishije...! TGS D ni graduate huyo! Tunatarajia pia alipe deni lake la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu!