Mkuu mbona PHTS sioni hapa? Msaada pleaseWanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014 UPDATE:
[/LEFT]
[/CENTER]
Mkuu hebu angalia vizuri chanzo chako cha habari hii! Naona kuna kada hakuna mabadiliko na ile ya mwaka jana. Nahisi nii ni ya July 2013.
Sina figure kamili ila ni kuanzia 800000-1000000!!
Hivi jamani pia PUTS1 ni shilingi ngapi maana hizi scale zinanichanganya kweli kweli
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Japo kilimo kinadharauliwa sana mkuu kwa hapa bongo, lakini endapo kikishikiwa bango kiukweli kweli kabisa, mshahara huu wa mwalimu si kitu kabisa ukweli nakwambia...!320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?
Nauliza tu, I stand to be corrected!
Japo kilimo kinadharauliwa sana mkuu kwa hapa bongo, lakini endapo kikishikiwa bango kiukweli kweli kabisa, mshahara huu wa mwalimu si kitu kabisa ukweli nakwambia...!