Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...

==============
July 2014 UPDATE:

[/LEFT]
[/CENTER]
Mkuu mbona PHTS sioni hapa? Msaada please
 
Of coz bt is 1.3M and that scale is for academic institutions, TAASISI, like DIT. But for the case of MUST. Because is the university now they will start to use PUTS ,as soon as possible, it means public university Tanzania Salary (PUTS).
 
Mkuu hebu angalia vizuri chanzo chako cha habari hii! Naona kuna kada hakuna mabadiliko na ile ya mwaka jana. Nahisi nii ni ya July 2013.

Mkuu hapo nnaona hapo chanzo chake kimekosea kidogo coz kabla ya mwezi wa saba 2014 TGTS D ilikuwa 589000 Sasa ukijumlisha increment ya 30000 itakuwa 619000 Ebu angalieni vizuri wakuu
 
naomba msaada jinsi ya kujua mwalimu wa diploma analipwa kiasi gan. msaaada
 
Naomba kujuzwa mshahara PGSS 8-9 kwa viwango vipya vya mishahara Julai 2014 ni kiasi gani?
 
Hivi jamani pia PUTS1 ni shilingi ngapi maana hizi scale zinanichanganya kweli kweli

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
320,000.00 ukigawa kwa 30 ni sawa na 10,700/= Tshs kwa siku!
Hivi pesa hii mtu akijipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji wa pampu tu ya kawaida akitumia maji ya mto wa kudumu hawezi kupata hata 500,000 kwa mwezi?

Nauliza tu, I stand to be corrected!
Japo kilimo kinadharauliwa sana mkuu kwa hapa bongo, lakini endapo kikishikiwa bango kiukweli kweli kabisa, mshahara huu wa mwalimu si kitu kabisa ukweli nakwambia...!
 
Japo kilimo kinadharauliwa sana mkuu kwa hapa bongo, lakini endapo kikishikiwa bango kiukweli kweli kabisa, mshahara huu wa mwalimu si kitu kabisa ukweli nakwambia...!

Kilimo cha Tz bahati nasibu
 
Namuonea huruma mwalimu aliyemaliza degree kwa zengwe la bodi ya mikopo alafu akapangiwa kazi mahali ambapo hakuna Huduma muhimu then akawa analipwa 450000 bila ya makato ya chama cha walimu,afya,heslb na bado ajapitia saccos....
 
Back
Top Bottom